Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 17, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 17, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 17, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 17, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Waziri Mkuu akabidhi tuzo ya Mdhamini Mkuu wa Kimataifa wa Madini
Kampuni ya Dhahabu ya Barrick inayoendesha shughuli zake nchini kwa ubia na Serikali ya Tanzania kupitia kampuni ya Twiga Minerals, imetunikiwa tuzo ya udhamini mkuu wa mkutano wa uwekezaji katika…
Serikali kuchukua hatua kwa Wafanyabiashara madini wakikiuka sheria
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amesema Serikali haitosita kuwachukulia hatua kali Wachimbaji wote na wafanyabiashara wa madini ambao hawatafuata Sheria ya Madini na kujiingiza kwenye utoroshaji wa madini,…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 16, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 16, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 16, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 16, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Ushirikiano wa Paul Pogba-Juventus unatarajiwa kumalizika leo
Kulingana na ripoti za Sky Sports News inasemekana kuwa Juventus na Paul Pobga (31) wanakaribia kuvunja makubaliano yao baadaye leo. Pogba aliona marufuku yake ya miaka minne ikipunguzwa hadi miezi…
Umati wa raia wa Haiti wakimbia makazi katika mji mkuu baada ya bvurugu za magenge kuongezeka
Wakaazi wa mtaa katika mji mkuu wa Haiti walioshambuliwa hivi majuzi na magenge walikimbia kutoka makazi yao Alhamisi, wengine wakisema hakuna uwazi kwao juu ya wapi pa kupata makazi salama.…
Ufaransa imetangaza eneo moja lilikumbwa na mlipuko wa dengue
Eneo la ng'ambo la Ufaransa la Guadeloupe limetangaza mlipuko wa dengue siku ya Alhamisi, huku mamlaka ikibaini kuwa mlipuko huo ulikuwa unasababishwa na aina ndogo ya ugonjwa unaoenezwa na mbu.…
Liverpool yaanza mazungumzo na Salah
Klabu ya Liverpool imeanza mazungumzo wawakilishi wa mshambuliaji wao raia wa Misri, Mohamed Salah, 32, kwa ajili ya kumsainisha mkataba mpya lakini hadi sasa hakuna dalili ya kufikia mwafaka. Salah…