Ufaransa imetangaza eneo moja lilikumbwa na mlipuko wa dengue
Eneo la ng'ambo la Ufaransa la Guadeloupe limetangaza mlipuko wa dengue siku ya Alhamisi, huku mamlaka ikibaini kuwa mlipuko huo ulikuwa unasababishwa na aina ndogo ya ugonjwa unaoenezwa na mbu.…
Liverpool yaanza mazungumzo na Salah
Klabu ya Liverpool imeanza mazungumzo wawakilishi wa mshambuliaji wao raia wa Misri, Mohamed Salah, 32, kwa ajili ya kumsainisha mkataba mpya lakini hadi sasa hakuna dalili ya kufikia mwafaka. Salah…
Nyota wa West Ham ahusishwa na kuhamia Saudi Arabia
Mshambulizi wa West Ham United, Mohammed Kudus amehusishwa na kutaka kuondoka katika klabu hiyo, na inaonekana huenda akawa njiani kuelekea Mashariki ya Kati. Kulingana na Fichajes, vilabu vya Saudi Arabia…
Takriban watu 40 walikamatwa wakati wa mzozo kwenye mechi ya Ufaransa na Israel
Duru za polisi zimeiambia AFP kwamba karibu watu 40 walikamatwa wakati wa mechi ya jana usiku ya UEFA Nations League kati ya Ufaransa na Israel na karibu 20 waliwekwa kizuizini…
Virusi vya Marburg nchini Rwanda vimekwisha
Rwanda imesema mlipuko wa virusi hatari vya Marburg nchini humo umekwisha, na hakuna maambukizi mapya kwa takriban wiki mbili. Mlipuko wa Marburg ulitangazwa kwa mara ya kwanza mwishoni mwa Septemba…
PSG wanahifadhi fedha ya kumnasa Khvicha Kvaratskhelia
Kulingana na La Gazzetta dello Sport, Paris Saint-Germain wanaweza kuamsha hamu yao ya kumnunua winga wa Napoli Khvicha Kvaratskhelia (23). Katika majira ya kiangazi, PSG waliripotiwa kutaka kumsajili mchezaji huyo…
Je Musk ailete star link tanzania?, TCRA yaomba watu watoe maoni ndani ya siku 14
Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema imepokea maombi ya leseni chini ya mfumo wa leseni kutaniko kutoka kwa Waombaji watatu wakiwemo Starlink Satellite Tanzania Limited kampuni…
Jesca Kitambaa afunguka mapya “baba alitaka niende Congo, baa zangu”
Kutoka nyumbani kwa Mzee King Kikii AyoTV imezungumza na Mtoto wake wa Kike Jesca Kikumbi maarufu kama Jesca Kitambaa Cheupe ambapo anatuelezea nyakati za mwisho za Baba yake Mzazi “Jana…
Xabi Alonso aamua juu ya mustakabali wake
Kocha mkuu wa Bayer Leverkusen Xabi Alonso anasemekana kuamua juu ya mustakabali wake. Mhispania huyo huenda akawaacha mabingwa hao wa Ujerumani mwishoni mwa msimu huu kwa changamoto mpya. Alonso alishinda…
Juventus wanapanga kumnunua mlinzi wa Bayern Munich Dier Januari
Italia na Serie A huenda zikawa marudio ya pili ya mpambano kwa beki wa Bayern Munich Eric Dier. Kumalizika kwa mkataba mwezi Juni, Dier hatarajiwi kupewa ofa mpya na Bayern.…