Korea Kaskazini imefanya majaribio mengine tena ya makombora yake
Korea Kaskazini mnamo Jumanne ilifanyia majaribio makombora mengi kuelekea maji yake ya mashariki, jeshi la Korea Kusini lilisema, wakati likiendelea na matumizi yake makubwa ya silaha kabla ya kurejea kwa…
Donald Trump angepatikana na hatia katika uchaguzi wa 2020 :wakili maalum
Rais mteule Donald Trump huenda angehukumiwa kwa kujaribu kubadilisha na kung'ang'ania madaraka kwenye matokeo ya uchaguzi wa urais wa 2020 ambayo alishindwa ikiwahangefanikiwa kuchaguliwa tena mwaka wa 2024, kulingana na…
Tyson Fury astaafu kucheza ndondi
Bingwa wa zamani wa dunia wa uzito wa juu Tyson Fury alitangaza kustaafu kutoka kwa ndondi Ijumaa, kufuatia kupoteza kwake Desemba kwa uzito wa juu wa Ukraine Oleksandr Usyk kwa…
Idadi ya vifo Gaza inaweza kuwa 41% juu kuliko takwimu rasmi :utafiti
Idadi ya watu waliouawa huko Gaza kwenye mashambulizi mabaya ya Israeli katika eneo la Palestina ni kubwa zaidi kuliko takwimu zilizoripotiwa na mamlaka ya afya ya eneo hilo, watafiti katika…
Madai kuwa TikTok itauzwa kwa bilionea Musk ni uongo
TikTok imeita ripoti kwamba China inazingatia kuruhusu uuzaji wajukwaa la mtandao huo wa kijamii nchini Marekani kwa Elon Musk ni " uongo mtupu." Maoni ya kampuni hiyo yanatolewa kujibu ripoti…
Rais wa Korea Kusini kuhukumiwa na Mahakama ya Katiba
Kesi ya kumuondoa madarakani Rais wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol inafunguliwa tena Jumanne, Januari 14, mbele ya Mahakama ya Katiba ambapo mahakama inaombwa iamue iwapo itamtimua kabisa kwa jaribio lake…
Wananchi watishia kata ya Mbezi wilaya Ubungo kuandamana kisa maji
Wananchi wa Mtaa wa mshikamano, kata ya Mbezi wilaya Ubungo wametishia kuandamana kwa shinikizo la kukosa maji kwa muda mrefu Mara baada ya kufika eneo hilo Afisa mteandaji Mkuu wa…
Rais Mwinyi kula chakula cha mchana na ZNZ Heroes
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ameialika Timu ya Taifa ya Zanzibar, ZANZIBAR HEROES Ikulu kwa Chakula cha Mchana Siku Ya Jumatano tarehe 15 Januari 2025. Rais…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 14, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 14, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 14, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 14, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.