Msikae kubishana kwenye vikao vya kutatua changamoto.
Baraza la Halmashauri ya wilaya ya Geita limewaonya Baadhi ya Viongozi katika kata watakao Kwenda kusimamia Mfuko wa Maafa ambao umeundwa kwa ajili ya kusaidia kutatua changamoto za Maafa wasiwe…
Putin apunguza fidia kwa wanajeshi waliojeruhiwa
Vladimir Putin amebadilisha jinsi wanajeshi waliojeruhiwa watakavyopokea fidia, huku baadhi wakiona malipo yao yamekatwa. Rais wa Urusi alitia saini amri ambayo inaainisha majeruhi katika makundi matatu - huku kila moja…
Hamas iko tayari kusitisha mapigano ‘mara moja’
Hamas inasema iko tayari kushiriki katika makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza "mara moja" lakini inadai kuwa haijawa na "mapendekezo yoyote mazito" kutoka kwa Israeli kwa miezi kadhaa, afisa wa kundi…
Korea Kaskazini yaamuru uzalishaji mkubwa wa ndege zisizo na rubani na za kujitoa mhanga
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un alitoa wito wa kuzalishwa kwa haraka kwa ndege zisizo na rubani za watu waliojitoa mhanga kufuatia majaribio ya utendaji kazi wake, vyombo vya…
Kituo cha CDC kimeidhinisha majaribio ya kifaa cha kupima ugonjwa wa mpox
Kituo cha kudhibiti na kuzuia magonjwa barani Afrika, CDC, kimeidhinisha majaribio ya kifaa cha kupima ugonjwa wa mpox kutoka nchini Morocco, taasisi hiyo ikisema hii ni hatua kubwa katika juhudi…
Timu ya taifa ya Uganda yafuzu AFCON 2025
Timu ya Taifa ya Uganda, maarufu kama ‘The Uganda Cranes’ imefuzu kushiriki ya fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), ikiwa imebakiza mechi mbili kibindoni. ‘The Uganda Cranes’ ilijihakikishia tiketi…
Utengenezaji wa mabehewa 264 ya mizigo umekamilika nchini China -TRC
Shirika la Reli Tanzania - TRC limesema utengenezaji wa mabehewa 264 ya mizigo umekamilika nchini China. Meli iliyobeba mabehewa hayo imeng'oa nanga nchini China Novemba 12, 2024 na inatarajiwa kufika…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 15, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 15, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Alexander Isak azungumzia uvumi wa kuhama kwake
Mshambulizi wa Newcastle United Alexander Isak amezungumzia moja kwa moja uvumi juu ya mustakabali wake kwa sasa huku akiendelea kuhusishwa na Arsenal na vilabu vingine vikuu. Mchezaji huyo wa kimataifa…