Alexander Isak azungumzia uvumi wa kuhama kwake
Mshambulizi wa Newcastle United Alexander Isak amezungumzia moja kwa moja uvumi juu ya mustakabali wake kwa sasa huku akiendelea kuhusishwa na Arsenal na vilabu vingine vikuu. Mchezaji huyo wa kimataifa…
Arsenal wana nia ya kumsajili Zubimend
Arsenal wana nia ya kumsajili kiungo wa Real Sociedad Martín Zubimendi, linaripoti Independent. Meneja Mikel Arteta anaripotiwa kumtambua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 kama mchezaji bora wa kusajili…
Palace bado ina matumaini ya kumpata Ben Chilwell
Ben Chilwell haonekani kuwa na mustakabali ndani ya Chelsea chini ya Enzo Maresca, na inaaminika kuwa Crystal Palace wamejiweka katika nafasi nzuri ya kumsajili. Mnamo Septemba, The Sun iligundua umakini…
Je, Man United ni sahihi kumpa kipaumbele Viktor Gyokeres badala ya Joshua Zirkzee?
Manchester United wanaripotiwa kuandaa uhamisho wa Viktor Gyokeres ambao pia unaweza kumfanya Joshua Zirkzee ajiunge na Sporting Lisbon kama malipo. The Red Devils wana hamu ya kumnasa Gyokeres baada ya…
Milan inawasiwasi kuhusu Morata kuumia katika Mafunzo
Fowadi wa Milan Álvaro Morata alipata jeraha la kichwa wakati wa mazoezi kabla ya kujiunga na timu ya taifa ya Uhispania, lakini hilo halikumzuia Luis de la Fuente kumtumia sana…
RC Batilda awaomba waganga wa tiba asili kukabiliana na vitendo vya ukatili
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dkt. Batilda Burian, amekutana na viongozi wa Chama cha Waganga wa Tiba za Asili Tanzania wa Mkoa wa Tanga na kutoa wito wa kudhibiti vitendo…
Wanaume Iringa ruksa kwa macho yao kushuhudia wake zao wakijifungua – Hosp ya rufaa mkoa
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa IRRH Imeanza Rasmi kutoa huduma ya Kujifungua ukiwa na msaidizi yaani mama , mwenza au rafiki kama mwomgozo wa " Chati uchungu" iliyotolewa…
Stamina aachia Album yake mpya ‘Msanii bora wa Hip Hop’
Ikiwa Leo November 14, 2024, Mkali kutokea Hip Hop, Stamina anasherehekea siku yake ya kuzaliwa sasa ameamua Pia kuachia Album yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Msanii bora wa Hip…
Mwanamke mmoja auwawa na kukatwa sehemu za siri
Mwanamke Mmoja anayefahamika kwa Jina la Sagali Masanja mwenye umri wa miaka 62,Mkazi wa kijiji cha Mahene wilayani nzega mkoani Tabora ameuawa kwa kukatwa katwa sehemu mbalimbali za mwili kisha…
NIC watekeleza agizo la Rais Samia watoa elimu ya bima kwa jamii
Shirika la Bima la Taifa (NIC) limeendelea kutoa elimu Kwa jamii kuhusu umuhimu wa kutumia bima kupitia kampeni ya NIC KITAA Ili kumlinda mwananchi dhidi ya majanga mbalimbali yanayotokea Kaimu…