RC Batilda awaomba waganga wa tiba asili kukabiliana na vitendo vya ukatili
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dkt. Batilda Burian, amekutana na viongozi wa Chama cha Waganga wa Tiba za Asili Tanzania wa Mkoa wa Tanga na kutoa wito wa kudhibiti vitendo…
Wanaume Iringa ruksa kwa macho yao kushuhudia wake zao wakijifungua – Hosp ya rufaa mkoa
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa IRRH Imeanza Rasmi kutoa huduma ya Kujifungua ukiwa na msaidizi yaani mama , mwenza au rafiki kama mwomgozo wa " Chati uchungu" iliyotolewa…
Stamina aachia Album yake mpya ‘Msanii bora wa Hip Hop’
Ikiwa Leo November 14, 2024, Mkali kutokea Hip Hop, Stamina anasherehekea siku yake ya kuzaliwa sasa ameamua Pia kuachia Album yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Msanii bora wa Hip…
Mwanamke mmoja auwawa na kukatwa sehemu za siri
Mwanamke Mmoja anayefahamika kwa Jina la Sagali Masanja mwenye umri wa miaka 62,Mkazi wa kijiji cha Mahene wilayani nzega mkoani Tabora ameuawa kwa kukatwa katwa sehemu mbalimbali za mwili kisha…
NIC watekeleza agizo la Rais Samia watoa elimu ya bima kwa jamii
Shirika la Bima la Taifa (NIC) limeendelea kutoa elimu Kwa jamii kuhusu umuhimu wa kutumia bima kupitia kampeni ya NIC KITAA Ili kumlinda mwananchi dhidi ya majanga mbalimbali yanayotokea Kaimu…
Rais Mwinyi awaapisha kadhi na katibu mtendaji wa tume ya utangazaji
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Mhe.Iddi Said Khamis kuwa Kadhi wa Mahkama ya Kadhi ya Rufaa. Pia Ndugu Hiji Dadi Shajak kuwa…
Vyama vya Siasa waeleza mchakato wa uchukuaji na urejeshaji wa fomu za uchaguzi Tanga
Katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajia kufanyika tarehe 27/11/2024 Viongozi wa vyama vya siasa Mkoa na Wilaya ya Tanga wamefanya mkutano na waandishi wa habari lengo likiwa ni…
RC aahidi Mil.200 kwa Tabora United
Mkuu wa mkoa wa Tabora Mh Paul Chacha ,amekabidhi million 20 kama ahadi yake kwa Tabora united baada ya ushindi wa bao 3-1 dhidi ya bingwa mtetezi wa ligi kuu…
Upasuaji mkubwa wa kuondoa uvimbe katika ubongo kwa mara ya kwanza wafanyika Hospitali ya rufaa ya kanda Chato
Madaktari Bingwa na Bingwa Bobezi wa mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu kutoka taasisi ya tiba ya magonjwa ya mifupa na ubongo muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na madaktari na…
Mikopo nyonyaji inayowatesa wananchi Kibaha,watoa ya moyoni kukimbia familia usiku
Wananchi wa halmashauri ya wilaya ya Kibaha wa.eishukuru serikali kurudisha mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na serikali bila kuwa na riba kwani waliteseka kwa zaidi ya miezi 19 hali iliyowapelekea…