Iran inasema iko tayari kufanya mazungumzo ya nyuklia, lakini sio chini ya shinikizo na vitisho
Iran inasema iko tayari kufanya mazungumzo ya nyuklia, lakini haitajadili "chini ya shinikizo na vitisho" wakati mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki Rafael Grossi alipokutana na mwanadiplomasia…
Marekani, Japan, Korea Kusini wazindua mazoezi makubwa ya kijeshi
Korea Kusini, Marekani na Japan siku ya Jumatano zilizindua zoezi lao la pili la nchi tatu katika maji ya kimataifa ya nchi hiyo ya Asia Mashariki, vyombo vya habari vya…
Israel yakiri kuwaua wapiganaji 200 wa Hezbollah nchini Lebanon wiki iliyopita
Jeshi la Israel pia linadai kuharibu zaidi ya kurusha roketi 140 za Hezbollah kusini mwa Lebanon katika wiki iliyopita. Ilisema katika taarifa yake kwenye Telegram kwamba mashambulizi ya hivi punde…
Polisi wa Japan wamkamata mwanamume wa Marekani kwa madai yakuharibu eneo la hekalu
Polisi wa Japan wamemkamata mtalii wa Kimarekani mwenye umri wa miaka 65 kwa madai ya kuharibu hekalu la ibada huko Tokyo. Mwanamume huyo, aliyetambulika kama Steve Hayes, anadaiwa kutumia kucha…
Kongo yasitisha chanjo ya Mpox baada ya upungufu wa dozi
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mamlaka zimeshindwa kuendelea na kampeni ya chanjo dhidi ya maambukizo ya Mpox kutokana na uhaba za dozi wakati huu matukio yakiendelea kuripotiwa haswa miongoni…
Mwanamke akutwa na nyaraka feki ya kifo cha mwenye eneo Bunju,waziri aagiza akamatwe
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemrejeshea Bw. Daudi Mfangavo kiwanja namba 23 kitalu 15 Mbweni Mpiji, Dar es Salaam ambaye alidaiwa kufariki dunia. Mhe…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 14, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 14, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 14, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 14, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Bashungwa alivyonyooshea kidole baraza la ardhi Karagwe,haki itolewe kwa wakati
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuboresha utaoji huduma wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya…
Kwa mara ya kwanza Hizbullah yakishambulia kituo kikubwa cha jeshi la anga la Israel
Hezbollah ilisema, Jumanne, kwamba ililenga kambi ya kijeshi ya HaHotrim kaskazini mwa Israeli, ikiwa ni shambulio la kwanza kama hilo tangu uhasama kuzuka zaidi ya miezi 13 iliyopita, Shirika la…