Karibia watu milioni 18 wajiandikisha kupiga kura Ghana
Tume ya Uchaguzi ya Ghana (EC) imetoa daftari la mwisho la wapiga kura lililoidhinishwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2024, unaopangwa kufanyika Desemba 7. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa…
Southampton ni miongoni mwa vilabu vinavyotaka kumsajili David Moyes
Baada ya kutarajiwa kurejea kwenye Ligi Kuu ya Uingereza, Southampton inajitahidi kusalia na ushindani katika ligi hiyo The Saints walipata ushindi wao wa kwanza msimu huu katika raundi ya kumi,…
Jaribo la Tarimo kutekwa lamuibua wakili Makore wa mahakama kuu “usikubali kukamatwa kiholela, jilinde kama Tarimo”
Wakili wa Mahakama Kuu Fernidand Makole amesema kwa mujibu wa sheria za Tanzania, taratibu za ukamataji zinamtaka Polisi akienda kumkamata Mtuhumiwa kwanza ajitambulishe na aonesha hati ya ukamataji (arrest warrant)…
Sakata la mfanyabiashara kutekwa Dsm, Rais wa Bunge la dunia afunguka “sio msaidizi wangu”
Baada ya video zinazosambaa mtandaoni zikionesha jaribio la utekaji dhidi ya Deogratius Tarimo, Mfanyabiashara na Mkazi wa Kibaha, Mkoani Pwani, sasa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…
Real Madrid iko tayari kumuuza hata Vinícius Jr
Real Madrid inaripotiwa kukabiliwa na changamoto za wastani za kifedha, jambo ambalo linaweza kuifanya klabu hiyo kufikiria kuwauza baadhi ya wachezaji wake wakuu. Kulingana na Relevo, Real Madrid imetoa ishara…
Al Ahly yajibu juu ya hukumu ya miezi 6 ya Emam Ashour
Klabu ya Al Ahly ya Misri imejibu juu ya hukumu ya hivi karibuni ya mchezaji wao, Emam Ashour, ambayo ni kifungo cha miezi sita jela kutoka Mahakama ya Rufaa Uamuzi…
Fati awekwa kando baada ya kupata Jeraha mazoezini
Miaka michache tu iliyopita, Ansu Fati alionekana kama talanta angavu zaidi katika soka ya Uhispania, lakini majeraha yamekuwa yakisumbua maisha ya winga huyo wa Barcelona hii ni baada ya leo,…
Mazungumzo yanaendelea kati ya Liverpool na wawakilishi Mohamed Salah
Iliripotiwa sana wiki hii kwamba Liverpool itaongeza mazungumzo ya kandarasi na Mohamed Salah wakati wa mapumziko ya kimataifa ya Novemba. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 aliachwa nje ya…
Mahakama yakataa ombi la Netanyahu la kuchelewesha ushahidi katika kesi yake
Mahakama ya Wilaya ya Jerusalem imekataa ombi la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu la kucheleweshwa kwa wiki 10 kwa kuanza kusikilizwa kwa ushahidi wake katika kesi yake ya jinai, ikisema kwamba…
Biden atupilia mbali swali la mwandishi kuhusu ufikiaji makubaliano ya mateka wa Gaza
Rais wa Marekani Joe Biden alikwepa kujibu swali kuhusu iwapo ana matumaini yoyote ya kufikia usitishaji mapigano na kuwarudisha mateka wa Israel katika Ukanda wa Gaza kabla ya mwisho wa…