Afisa wa Polisi akamatwa baada yakukutwa na zaidi ya Bill 56 kwenye kuta za nyumba yake
Polisi nchini Uhispania imemkamata mmoja wa maafisa wake wakuu wa polisi baada Bill 56,492,000,000 na cocaine kupatikana kwenye kuta za nyumba yake. Uchunguzi kuhusu kisa hiki kikubwa nchini humo ulifanyika…
Rais mteule Donald Tump anatarajiwa kuhukumiwa Novemba 26
Jaji katika kesi ya jinai ya Donald Trump ya New York amechelewesha kesi hiyo hadi Novemba 19 uamuzi wa uwezekano wa kutupilia mbali hukumu ya rais mteule wa Marekani, mahakama…
Mlinzi wa Marekani aliyefujisha taarifa za siri za Pentagin ahukumiwa miaka 15 jela
Jack Teixeira, mjumbe wa Walinzi wa Kitaifa wa Wanahewa wa Marekani ambaye alitoa siri na hati za Pentagon mwaka jana katika moja ya ukiukaji mkubwa wa sheria na wa kijasusi…
Kundi la waasi la Iraq lafanya mashambulizi zaidi dhidi ya Israel
Kundi la Islamic Resistance in Iraq limedai shambulizi la pili la ndege isiyo na rubani dhidi ya Israel, wakati huu kwenye "lengo muhimu kaskazini mwa maeneo yanayokaliwa". Jeshi la Israel…
Daktari anayetuhumiwa kukosoa vita vya Urusi nchini Ukraine ahukumiwa
Daktari anayeshutumiwa kwa kukosoa mapigano ya Urusi nchini Ukraine mbele ya mgonjwa alipatikana na hatia ya kueneza habari za uwongo kuhusu jeshi la Urusi na kuhukumiwa kifungo cha miaka 5…
Somaliland yafanya Uchaguzi wa Rais baada ya Miongo kadhaa
Wapiga kura nchini Somaliland wameelekea kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua rais wao ajaye, kura inayoonekana kuwa muhimu huku eneo lililojitangaza kuwa huru la Somalia likishinikiza kutambuliwa kimataifa kwa muda…
Kesi mpya za ugonjwa wa Mpox zaidi ya mara mbili miongoni mwa watoto DRC na Burundi yatangazwa
Aina mpya na kali ya virusi vinavyoweza kusababisha vifo vinaenea kwa kasi miongoni mwa watoto katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Burundi, huku kesi zikiongezeka maradufu tangu dharura…
Watu 14 wamefariki baada ya basi kutumbukia kwenye mto Indus kaskazini mwa Pakistan
Takriban watu 14 wamethibitishwa kufariki na wengine wengi kupotea na kudhaniwa kuwa wamekufa baada ya basi kuanguka kwenye mto Indus kaskazini mwa Pakistan, kulingana na mamlaka ya eneo hilo. Dereva…
Uturuki yajinadi kuwa mwenyeji wa COP31 mnamo 2026: Rais Erdogan
Uturuki mnamo Jumanne alitangaza kugombea kwake kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 2026 wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), huku Rais Recep Tayyip Erdogan akitoa shukrani kwa nchi…
Magwiji wa Barcelona na Real Madrid kukutana katika mchezo wa kirafiki nchini Japan
Wachezaji maarufu kutoka Barcelona na Real Madrid wanatazamiwa kukutana kwa mara ya kwanza mwezi ujao kwa mchezo wa hisani nchini Japan. "Nyota anayevutia zaidi ni Andres Iniesta, ambaye alistaafu hivi…