Elon Musk na Vivek Ramaswamy wateuliwa na Trump kuongoza Idara ya Ufanisi
Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemteua mkuu wa teknolojia billionea Elon Musk na aliyekuwa mgombea urais wa chama cha Republican Vivek Ramaswamy kama wateule wake wa kuongoza kile kinachoitwa…
RC afanya ziara na Chopa ZNZ ataka watu wazoee,yapita chini chini kwenye mitaa
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Rc Idrissa Kitwana Mustafa amefanya ziara ya Dakika 24 katika Mkoa wa mjini kuutazama kiusalaama mkoa wake na namna miradi mbali mbali inavyoendelea katika mkoa…
Hekari 100 zateketea kwa moto Arumeru
Hekari zinazokadiriwa kufikia zaidi ya mia moja zimeteketea kwa moto katika mashamba ya Dolli Estate yanayomilikiwa na baadhi ya wawekezaji kutoka nje katika kata ya Maroroni Wlayani Arumeru Mkoani Arusha…
Wahariri wa vyombi vya habari wapitishwa kwenye Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Wito wa Waziri wa Nchi OR - TAMISEMI Mohamed Mchengerwa alipokutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari Tanzania kujadiliana nao masuala kadha wa kadha pamoja na kujibu hoja zao kuelekea…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 13, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 13, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 13, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 13, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Mahakama yamapiga marufuku dada kusafisha chumba cha kaka yake bila ruhusa
Ndugu wawili kutoka huko Singapore wamepelekana Mahakamani baada ya Kaka Kumshtaki Dada yake kwa kuingia chumbani kwake mara kwa mara kwa miaka minane ili kusafisha, jambo alilosema linavunja faragha yake…
Mwanamke wa kichina apewa talaka baada ya kujifungua mtoto mweusi
Kilichotarajiwa kuwa wakati wa furaha kwa ndoa ya Wanandoa hawa kutoka China kimegeuka kuwa chanzo cha kutoaminiana na wasiwasi baada ya kuzaliwa kwa mtoto wao, hali iliyosababisha Mume kudai kipimo…
Waumini wanywa maji ya kiyoyozi wakidhani ni maji Matakatifu
Waumini katika hekalu la Shri Banke Bihari, lililopo huko Vrindavan Nchini India, walikusanyika ili kunywa Maji yaliyokuwa yakidondoka kutoka kwenye Sanamu ya Tembo, wakiamini kuwa ni Maji matakatifu kutoka kwa…
Bangladesh yaomba msaada wa Interpol kumkamata Waziri Mkuu aliyeondolewa madarakani kwa mauaji
Mahakama maalum nchini Bangladesh Jumanne ililitaka shirika la polisi la kimataifa Interpol kutoa notisi ya kukamatwa kwa Waziri Mkuu aliyeondolewa madarakani Sheikh Hasina kuhusiana na vifo vya mamia ya waandamanaji…