RC Dar es salaam azindua Tumaini Jema Group
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezindua rasmi Tumaini Jema Group (TJG) linalohusisha mitaa minne ya Liwiti, Amani, Mfaume na Misewe lililopo Tarafa ya Ukonga Kata ya…
Auawa na wananchi wenye hasira kali baada ya ng’ombe aliyeibiwa kukutwa kwake Geita
Kijana mmoja ambaye bado hajafahamika Jina lake ameuwawa na wananchi wenye hasira kali katika Kijiji cha Nyakagwe Kata ya Nyankumbu mjini Geita, baada ya kukutwa na ng’ombe aliyeibwa kutoka kwa…
Mabadiliko tabia ya nchi yatajwa kuchangia umaskini,mfuko wa jamii za pembezoni wazinduliwa
Mabadiliko ya Tabia ya Nchi yametajwa kuwa Moja ya mambo yanayochangia Umasikini kwa jamii zilizopo pembezoni ikiwemo za kifugaji za Wamaasai hali ambayo indhoofisha ustawi wa maisha ya wananchi wa…
Milioni 395 zimetolewa kwa Wanawake, Vijana na walemavu
Mbunge wa Iramba Mashariki Mhe. Francis Mtinga ametoa wito kwa vijana, wanawake na watu wenye ulevamavu wilayani Mkalama kutumia vizuri mikopo wanayopewa kwa kuwekeza katika biashara zenye tija ili waweze…
Bashungwa apongeza Polisi kupatikana kwa wanafunzi waliotekwa mwanza
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Wazazi na Wananchi kwa kufanikisha Operesheni ya msako mkali…
PPP waandaa zoezi la kuibua miradi Mikoa 12
Kwa mujibu wa Kifungu cha 5. -(1) cha Sheria ya PPP, Sura 103, Kituo cha Ubia (PPP Centre) kimepewa jukumu la kutoa usaidizi wa kiufundi pamoja na mafunzo kwa Mamlaka…
Marioo alamba dili la Bahati nasibu ya Taifa
Mwanamuziki nyota wa Bongo Flava, Omary Ally Mwanga, anayefahamika kwa jina la kisanii Marioo, ametambulishwa rasmi kama Balozi wa Bahati Nasibu ya Taifa ya Tanzania. Ushirikiano huu wa kimkakati unaleta…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 12, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania February 12, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 12, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam February 12, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Barrick yachangia Trilioni 3.6 pato la Serikali
Hayo yameelezwa Jijini Dodoma na Meneja wa Barrick nchini Dkt. Melkiory Ngido, mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati akiwasilisha Maendeleo ya Kampuni Tanzu baina…