Israel ilikwamisha asilimia 85 ya majaribio ya kuzuia misaada kuelekea Gaza
Umoja wa Mataifa ulisema asilimia 85 ya majaribio yake ya kuratibu misafara ya misaada na ziara za kibinadamu kaskazini mwa Gaza yalikataliwa au kuzuiwa na mamlaka ya Israel mwezi uliopita.…
Lifahamu jengo refu zaidi lenye umbo la jogoo
Hoteli ya Campuestohan Highland Resort katika jimbo la Ufilipino la Negros Occidental hivi majuzi ilitunukiwa rekodi ya Guinness kwa kuwa jengo la juu zaidi lenye umbo la jogoo. Imesimama futi…
Magazeti ya Ufaransa yadai kuchukukua hatua za kisheria dhidi ya X
Magazeti makuu ya Ufaransa, ikiwa ni pamoja na Le Monde, Le Figaro na Le Parisien, yalisema Jumanne kwamba wanachukua hatua za kisheria dhidi ya mtandao wa kijamii wa X kwa…
Israel yafungua kivuko cha misaada Gaza, kabla ya muda uliowekwa na Marekani
Jeshi la Israel lilitangaza kufungua siku ya Jumanne (Nov 12) kwa msaada wa ziada kuvuka Gaza, katika mkesha wa muda uliowekwa na Marekani wa kuboresha hali ya kibinadamu kwa Wapalestina…
Tanzania kuandaa mpango wa vituo vya Teknolojia ya nyuklia-Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali za SMZ na SMT, zimeandaa mpango wa kuongeza vituo vya uchunguzi na matibabu ya saratani kwa kutumia…
Baraza la madiwani Geita lalidhia kupitisha bilioni 4.3 mapendekezo ya CSR 2024.
Madiwani katika Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Geita limekutana kujadili mapendekezo ya mpango wa wajibu kwa kampuni ya Mgodi wa Dhahabu Geita (GGML) kwa jamii (CSR) 2024 katika utekelezaji…
Kurudi kwa gwiji wa Madrid Sergio Ramos bado ni maswali
Baada ya muda wa miaka 16 katika klabu ya Real Madrid, na kufikisha mataji 22, kuondoka kwa Sergio Ramos mnamo 2021 kulizua mjadala mkubwa kati ya mashabiki na wachambuzi sawa.…
Klabu kubwa zinamtazama nyota wa Chelsea
Vilabu kote Ulaya vinafuatilia hali ya sasa ya Kiano Dyer huko Chelsea, gazeti la Daily Mail linaripoti. Kiungo huyo wa kati mwenye umri wa miaka 17 ni mtoto wa winga…
Christopher Nkunku atafakari juu ya mustakabali wake Chelsea
Mshambulizi wa Chelsea Christopher Nkunku anatazamiwa kutafakari hatma yake mwezi Januari huku Manchester United ikiwa na nia, kwa mujibu wa Daily Telegraph. The Red Devils wamekuwa wakimtaka mchezaji huyo mwenye…
Barca wanamtolea macho Marmoush kuchukua nafasi ya Lewandowski
Barcelona wanamfuatilia kwa karibu mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt Omar Marmoush, kwa mujibu wa Sport. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 amekuwa mmoja wa washambuliaji walio na kiwango kizuri barani…