Ndege mbili za abiria zashambuliwa na magenge ya waasi katika anga la haiti
Ndege mbili za kibiashara zimepigwa risasi katika anga la Mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince, wakati Ndege moja ya Spirit Airlines ilipokuwa ikijaribu kutua na nyingine ya JetBlue ilipokuwa ikiondoka kuelekea…
Nahodha wa Arsenal Martin Odegaard atakosa mechi kadhaa baada ya kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu
Nahodha wa Arsenal Martin Odegaard hataichezea Norway katika mechi zijazo za Ligi ya Mataifa dhidi ya Slovenia na Kazakhstan. Nahodha huyo wa The Gunners hakujumuishwa kwenye kikosi cha awali cha…
Watu zaidi wamekamatwa kutokana na mashambulizi dhidi ya wafuasi wa timu ya Israel
Watu watano zaidi wamekamatwa kwa tuhuma za kuhusika katika mashambulizi dhidi ya mashabiki wa soka wa Israel mjini Amsterdam, polisi wa Uholanzi wamesema. Takriban washukiwa 63 walikuwa tayari wamekamatwa baada…
Zaidi ya wanafunzi 12061 wa Kipalestina waliuawa, 19467 walijeruhiwa tangu Octoba 7
Wizara ya Elimu na Elimu ya Juu ilisema kuwa wanafunzi 12,061 waliuawa na 19,467 walijeruhiwa tangu kuanza kwa uvamizi wa Israeli kwenye Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi mnamo…
Kila mtu ana hamu ya kujifunza kutoka kwa kocha mpya wa Manchester United -Casemiro
Casemiro amefurahishwa na mabadiliko ya Ruben Amorim akiwa Sporting Lisbon na anasema kila mtu ana hamu ya kujifunza kutoka kwa kocha mkuu mpya wa Manchester United. Ruud van Nistelrooy alipunguza…
Megan Fox na Machine Gun Kelly wanatarajia mtoto wao wa kwanza pamoja
Nyota wa Marekani Megan Fox ametangaza kuwa anatarajia mtoto wake wa kwanza na mwanamuziki Machine Gun Kelly. Mwigizaji huyo alirejea kwenye mitandao ya kijamii ili kuonesha ujauzito wake akiwa na…
Waziri wa mambo ya nje wa Israel aripoti baadhi ya maendeleo kuelekea kusitisha mapigano
Waziri wa mambo ya nje wa Israel anaripoti baadhi ya maendeleo kuelekea kusitisha mapigano, licha ya Hezbollah kusema haijui lolote kuhusu hilo. Waziri mpya wa mambo ya nje wa Israel…
Idadi ya vifo kutokana na mashambulizi ya anga ya Urusi dhidi ya Ukraine
Idadi ya vifo kutokana na mashambulizi ya anga ya Jumatatu ya Urusi katika miji kadhaa katika mkoa wa Dnipropetrovsk nchini Ukraine iliongezeka hadi sita, mamlaka za mitaa zilisema Jumanne. Gavana…
Mgogoro wa waliohama makazi unafikia milioni 123, huku kukiwa na migogoro inayoendelea
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi Jumanne lilionya kwamba nusu ya watu zaidi ya milioni 120 waliokimbia makazi yao duniani wanazidi kujikuta kwenye mstari wa mbele wa mgogoro…
Ufaransa yapiga marufuku bendera za Palestina wakati wa mechi huko Ufaransa
Ufaransa yapiga marufuku bendera za Palestina wakati wa mechi yao dhidi ya Israel . Hii ni kufuatia machafuko ya wiki iliyopita kwenye mechi ya Uholanzi, mamlaka ya Ufaransa imepiga marufuku…