Bei ya Sarafu mtandao yapanda kufikia viwango vya juu vya kihistoria
Bei ya Bitcoin ilifikia kiwango cha karibu $90,000 Jumanne, na kufikia viwango vya juu vya kihistoria. Katika kipindi cha saa 24 zilizopita, bei ya sarafu-fiche kubwa ilipungua hadi $80,800 na…
Jeshi la Marekani linasema mashambulizi nchini Syria kulipiza kisasi kwa Iran’
Jeshi la Marekani limefanya mashambulizi dhidi ya shabaha nchini Syria katika kile ambacho Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM) ilisema ni jibu la mashambulizi ya hivi majuzi dhidi ya wanajeshi wa…
Korea Kaskazini yaidhinisha mkataba wa kihistoria wa ulinzi na Urusi
Korea Kaskazini imeidhinisha mkataba wa kihistoria wa ulinzi wa pande zote na Urusi, vyombo vya habari vya serikali vimetangaza, huku wasiwasi wa kimataifa ukizidi kuongezeka kwa ushirikiano wa kijeshi kati…
Ruud van Nistelrooy aiaga Manchester United huku Amorim akichukua mikoba
Muda wa Ruud van Nistelrooy na Manchester United umefikia kikomo, klabu hiyo imethibitisha siku moja baada ya Mholanzi huyo kuiongoza timu hiyo kushinda mabao 3-0 dhidi ya Leicester City kwenye…
Maambukizi ya Mpox nchini DRC yapungua: WHO
Shirika la Afya Ulimwenguni limesema kesi za mpox katika eneo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambapo aina mpya na ya kuambukiza zaidi iligunduliwa kwa mara ya kwanza inaonekana "kudumaa,"…
Refa wa EPL aliyekashifu Liverpool na kocha Jurgen Kloop asimamishwa kazi
Mwamuzi wa Ligi Kuu ya Uingereza David Coote amesimamishwa kazi baada ya video inayodaiwa kumuonyesha akitoa kauli za dharau kuhusu Liverpool na meneja wa zamani wa klabu hiyo Jurgen Klopp…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 12, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 12, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 12, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 12, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
EWURA watakiwa kufikisha na kutoa elimu ya matumizi ya nishati safi vijijini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dokta Dotto Biteko ameitaka Mamlaka ya udhibiti wa huduma za Nishati na Maji (EWURA) kuhakikisha wanafikisha huduma ya vituo vya mafuta vijijini…
Rais Samia akutana na kuzungumza na Mkurugenzi wa Programu za Dunia na Mwakilishi wa Susan Buffet
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Dkt. Tewodros Beleke Mkurugenzi wa Programu za Dunia na Mwakilishi wa Susan Buffet…