EWURA watakiwa kufikisha na kutoa elimu ya matumizi ya nishati safi vijijini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dokta Dotto Biteko ameitaka Mamlaka ya udhibiti wa huduma za Nishati na Maji (EWURA) kuhakikisha wanafikisha huduma ya vituo vya mafuta vijijini…
Rais Samia akutana na kuzungumza na Mkurugenzi wa Programu za Dunia na Mwakilishi wa Susan Buffet
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Dkt. Tewodros Beleke Mkurugenzi wa Programu za Dunia na Mwakilishi wa Susan Buffet…
Rais Samia akutana na kuzungumza na Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva, alipofika Ikulu,…
Timu ya Ipswich Town yapata ushindi wakwanza Ligi kuu baada ya miaka 22
Timu ya Ipswich Town ambayo ilipandishwa ngazi kwenye ligi kuu Uingereza msimu 2024/25 ilipata ushindi wao wa kwanza katika ligi hiyo kwa miaka 22. Ipswich walipata ushindi huo dhidi ya…
Putin aahidi nchi za Kiafrika ‘msaada’ kamili wa Urusi
Rais wa Urusi Vladimir Putin ametoa kile alichokiita "uungaji mkono kamili" kwa Afrika, ikiwa ni pamoja na katika mapambano dhidi ya ugaidi na itikadi kali. Hotuba hiyo ilisomwa katika mkutano…
Ruben Amorim anasema anaondoka Sporting CP ikiwa sehemu bora
Amorim anaanza kuinoa United leo, akiwaacha Sporting kileleni mwa jedwali la Primeira. Baada ya ushindi dhidi ya Braga, alisema Jumapili: "Kuanzia kesho nitafikiria kuhusu Manchester United. "Ni vigumu kujumlisha yote…
Vijana waaswa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kudumisha amani nchini
Ikiwa zimesalia siku chache Nchini Tanzania kufanyika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa hamasa kwa vijana imezidi kushamiri kushiriki uchaguzi huo huku wakiaswa kuwa mstari wa mbele tarehe 27/11/2024 siku…
Beki wa Liverpool Konate hana kinyongo na Saliba
Beki wa Liverpool, Ibrahima Konate anasisitiza kuwa ushindani na William Saliba wa Arsenal katika kutafuta nafasi katika timu ya Ufaransa ni mzuri kwake. Konate anasema Saliba anastahili nafasi yake ya…
Chelsea wanataka kumzuia Fofana kutoka Ufaransa
Uongozi wa Chelsea unasisitiza Wesley Fofana hafai kujiunga na Ufaransa leo. RMC inasema Chelsea imeliarifu Shirikisho la Soka la Ufaransa kwamba Fofana ana uvimbe kwenye goti lake baada ya sare…
Trump aongoza kwa kura 312, Harris akifuata 226 katika matokeo ya mwisho
Rais mteule Donald Trump amepata ushindi mnono katika uchaguzi wa rais wa Marekani wa 2024, na kupita kura 270 zinazohitajika ili kupata Ikulu ya White House. Kwa kuongezwa kwa kura…