Rais Samia aipa Tanroad zaidi ya Bil 500,ujenzi wa miundombinu Dar
Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan zaidi ya Shilingi Bilioni 500 zimetolewa kwa Wakala ya Barabara…
CHEKA TU: LEONBET EDITION yasimamisha jiji kwa burudani ya kibabe
Mashabiki wakubashiri wa kampuni inayotamba ya LEONBET Tanzania walipata burudani ya kisasa ya kuvunja mbavu na wachekeshaji maarufu nchini kwenye uzinduzi rasmi wa kampuni hiyo uliopewa jina la CHEKA TU:…
Familia za watu waliotekwa nyara zakusanyika kuadhimisha siku 400 tangu wapendwa wao kutekwa nyara
Mamia ya watu wakusanyika kwenye Barabara ya Tel Aviv, nje ya makao makuu ya IDF, kudai mpango wa waliotekwa nyara, huku familia za mateka waliozuiliwa Gaza zikiadhimisha siku 400 tangu…
Qatar yasusia mazungumzo ya kutaka amani kati ya Gaza na Israel
Qatar hatimaye imejitoa katika mazungumzo ya kusitisha mapigano na kuwaachilia mateka kati ya Israel na Hamas, maafisa wanasema. Nchi hiyo ilisema itaanza tena kazi yake wakati Hamas na Israel "zitaonesha…
Takriban watoto 13 kati ya wengi waliuawa katika shambulio la Israeli kwenye makazi kaskazini mwa Gaza Alfajiri ya leo
Takriban Wapalestina 25 wameuawa, wakiwemo watoto 13, na wengine 30 kujeruhiwa katika shambulizi la kabla ya alfajiri la Israel dhidi ya nyumba moja katika eneo la Jabalia kaskazini mwa Gaza…
Mafuriko nchini Sudan Kusini yaathiri watu milioni 1.4: UN
Mafuriko makubwa nchini Sudan Kusini yameathiri takriban watu milioni 1.4, na kuwakosesha makazi 379,000, kulingana na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) katika nchi hiyo…
Takriban watu 26 waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu stesheni Pakistan
Takriban watu 26 waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu katika kituo cha reli cha Quetta kusini magharibi mwa Pakistan mapema Jumamosi, polisi walisema. Kufikia sasa watu…
Asilimia 99 ya vijiji vyote nchini vimefikiwa na umeme
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema asilimia 99 ya Vijiji vyote nchini vimefikiwa na nishati ya umeme. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Novemba 08, 2024 bungeni jijini Dodoma…
Mbolea ya ruzuku iwafikie wakulima wa Katani
Baraza la Madiwani kimefanyika leo tarehe katika ukumbi wa Halmashauri ya Kilolo chini ya mwenyekiti wa halmashauri Mhe. Anna Msola, kwa lengo la kujadili taarifa za utekelezaji za robo ya…
Imani apewa Mil 8 Arusha kisa mashine ya vifaranga,awakilisha Tanzania nje
Kijana wa kitanzania Imani Martin kutoka Jijni Dar es salaam pamoja na wenzake wawili wameshinda dola kimarekani elfu tatu ambazonni zaidi million saba baada ya kuwashinda wenzake zaidi ya washiriki…