Mh.Mwinjuma amtembelea mzee Zorro atoa msaada wa vifaa vya mazoezi
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, amemtembelea msanii mkongwe nchini Zahir Ally Zorro (Mzee Zorro) nyumbani kwake Kigamboni Dar es salaam jioni ya Novemba 9 2024,…
Kilomita 33 za Lami kuwanufaisha wananchi Iringa kupitia mradi wa Rise
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) inaendelea na ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami katika barabara ya Wenda-Mgama Km 19 na Mtili-Ifwagi Km 14 katika Wilaya ya…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 10, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 10, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 10, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 10, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 9, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Magaidi wa Boko Haram wauawa katika mashambulizi ya anga
Jeshi la Chad limejeruhi na kuua wanachama wa kundi la Boko Haram katika mashambulizi ya anga, Rais Mahamat Idriss Deby Itno alisema siku ya Alhamisi. "Tulifanya mashambulizi kadhaa ya anga…
Wanajeshi wa Korea Kaskazini wanaingia vitani; Ushindi wa Trump unatia shaka misaada ya Ukraine
Wanajeshi wa Korea Kaskazini wanasemekana kupigana na vikosi vya Ukraine katika eneo la Kursk la Urusi kwa mara ya kwanza siku ya Jumanne, siku hiyo hiyo wapiga kura wa Marekani…
Taarifa zimeibuka kuhusu mustakabali wa nyota wa Liverpool, Mohamed Salah
Nyota wa Liverpool Mohamed Salah anakabiliwa na mustakabali usio na uhakika katika klabu hiyo baada ya kuingia mwaka wa mwisho wa mkataba wake. Amekuwa katika mfumo wa maisha yake msimu…
Wagombea ambao hawajaridhishwa na uteuzi waweke pingamizi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka wagombea wote ambao hawajaridhishwa na uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi…
Manchester United ina nia ya kumnunua mlinzi wa Everton Jarrad Branthwaite
Manchester United wameripotiwa kupata nguvu katika harakati zao za kumnasa Jarrad Branthwaite, kwani Everton ‘haina uwezo’ wa kumpa beki huyo wa kati mkataba mpya. The Red Devils walishuhudia ofa…