Jeshi la Israel limeripoti kuzuia kombora lililorushwa kutoka Yemen
Jeshi la Israel liliripoti mapema Ijumaa kwamba lilifanikiwa kulinasa kombora lililorushwa kutoka Yemen kuelekea maeneo yake ya kusini. Katika taarifa, jeshi la Israel limethibitisha: "Kuhusu kengele katika Bahari ya Chumvi…
Uongozi wa Netanyahu waingia doa,maafisa wengine 2 wachunguzwa
Maafisa wawili wakuu katika ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu wanachunguzwa kwa kuhusika kwao katika kuvujisha nyenzo nyeti kutoka kwa kamera za usalama, vyombo vya habari vya ndani…
Jeshi la Marekani liko tayari kutekeleza amri zozote za utawala ujao :Pentagon
Jeshi la Marekani liko tayari kutekeleza "amri zote halali" za utawala ujao wa Rais Donald Trump, Pentagon ilisema Alhamisi. Katika ujumbe kwa jeshi, Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin alisisitiza kwamba…
Trump adai kuongea na angalau viongozi wa 70 wa dunia tangu kuchaguliwa kwake
Rais mteule wa Marekani Donald Trump alisema Alhamisi kwamba alizungumza na angalaau viongozi 70 wa dunia tangu ushindi wake wa urais na anadhani atazungumza na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin.…
Trump aahidi kulihutubia Bunge akiwa amevalia mavazi ya taekwondo
Miaka kadhaa kabla ya kuchaguliwa tena katika Ikulu ya White House, Donald Trump aliahidi kuhutubia Bunge akiwa amevalia sare ya taekwondo, ripoti ya vyombo vya habari ilidai Alhamisi. Trump alitoa…
Legend Tour yapasua Babati
Wakali wa Bongo fleva Tanzania, wamewaburudisha wakazi mbalimbali wa Babati Manyara kupitia tamasha la Legends Tours lililoandaliwa na Bongo Records ambalo linazunguka mikoa mbalimbali lililoanzia Moshi na Arusha. Burudani…
Jeshi la Nigeria lawaua watu 481 wenye silaha katika mwezi Oktoba
Jeshi la Nigeria limesema limewaua watu 481 na wengine zaidi ya 741 wanashikiliwa na jeshi hilo kufuatia operesheni ya kupambana na ugaidi iliyofanyika mwezi uliopita nchini humo. Hayo yamesemwa…
Bunge la Ghana laahirishwa baada ya wabunge wa chama tawala kususia vikao
Bunge la Ghana jana Alhamisi liliahirishwa tena kwa muda usiojulikana kufuatia pingamizi la wabunge kutoka chama tawala cha New Patriotic Party (NPP) muda mfupi kabla ya uchaguzi. Kukosekana wabunge wa…
Ghasia na maandamano vyaongezeka Msumbiji,viongozi wa SADC wakijiandaa na mkutano
Maelfu waliandamana kwa mara nyingine Alhamisi (Nov. 07) katika mji mkuu wa Msumbiji kuhusu matokeo ya uchaguzi wa urais wa Oktoba 9 ambao uliongeza muda wa utawala wa chama cha…
Sudan yaanza mpango wa utoaji chanjo ya Malaria
Sudan imeanza kutekeleza mpango wake wa kwanza wa chanjo ya malaria huku kukiwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miezi 18 nchini humo. Chanjo zitatolewa kwa takriban watoto…