Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 8, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 8, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 8, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 8, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Majani katutoa mtaani :Wakongwe walioko kwenye tamasha lililopewa jina la Legends Tour
Kauli hiyo imezungumzwa na wakongwe walioko kwenye tour ya muziki iliyopewa jina la Legends Tour ambayo imeandaliwa na Producer mkongwe P funk Majani kupitia Bongo Records ambaye amewaunganisha wasanii wazamani…
Wanajeshi watumwa Msumbiji kabla ya maandamano yaliyopangwa
Wanajeshi na polisi walishika doria katika mji mkuu wa Msumbiji, Maputo, mapema Alhamisi kabla ya maandamano yaliyopangwa kufanyika kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyokataliwa na upinzani. Ghasia zimelikumba taifa hilo la…
Bidhaa za vyakula zisikidhi vigezo hazisajiliwi TBS
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema bidhaa nyingi za vyakula vinavyofungashwa na visivyokidhi vigezo vya usalama na ubora ,vimekuwa vikikataliwa kusajiliwa na kutoruhusiwa kuingizwa nchini. Kwa uzuiaji wa bidhaa hizo,TBS…
Watu 14 wamefariki Dunia na wengine 09 kujeruhiwa katika ajali ya gari Tabora
Watu 14 wamefariki Dunia na wengine 09 kujeruhiwa katika ajali ya gari aina ya Toyota Hiace yenye usajili namba T. 562 DGG baada ya dereva wa gari hiyo ambaye hajafahamika…
Israel yatia saini mkataba wa Dola bil 5.2 ili kupata ndege za kivita za kisasa
Israel, ambayo inaendelea kushambulia Gaza na Lebanon, Alhamisi ilitangaza kutia saini mkataba wa kununua ndege 25 za kivita za F-15 za kizazi kijacho kutoka kwenye kampuni kubwa ya anga ya…
Rwanda yazindua rasmi maabara ya roboti shuleni
Wizara ya Teknolojia na Ubunifu nchini Rwanda na washirika wake, mnamo Novemba 5, ilizindua rasmi maabara ya roboti katika shule ya New Generations Academy jijini Kigali. Kulingana na tangazo liliotolewa…
dhamana ya Chuma cha Chuma yagonga mwamba Kisutu
Raia wa Burundi, Ferdnand Ndikuriyo(27) maarufu kama Chuma cha Chuma amegonga mwamba kuhusu dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana na Hakimu anayesikiliza kesi yake kuanza likizo. Chuma cha…
REA kupeleka umeme visiwa vyote Tanzania Bara
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza rasmi safari ya kupeleka umeme katika visiwa vyote Tanzania Bara huku ikiwahakikishia wananchi hao kuwa wote…