SADC yaitisha mkutano wa dharura kuhusu machafuko ya baada ya uchaguzi Msumbiji
SADC imeitisha mkutano wa kilele mjini Harare kuanzia Novemba 16 hadi 20 "kimsingi kushughulikia masuala yanayoibuka yenye umuhimu wa kikanda," waziri wa habari wa Zimbabwe alisema Jumanne. Zimbabwe kwa sasa…
Rapa Tekashi 6ix9ine afikia makubaliano kumaliza kifungo chake jela
Rapa Tekashi 6ix9ine alifikia makubaliano ya kumaliza kifungo chake cha sasa, akikubali kutumikia kifungo cha mwezi mmoja jela kwa kukiuka masharti ya kuachiliwa kwake baada ya kukutwa na hatia, waendesha…
UNRWA,yahimiza ulimwengu kuiokoa kutoka kwenye marufuku ya Israeli
Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Palestina aliutaka ulimwengu Jumatano kuliokoa dhidi ya marufuku ya Israel ambayo itakuwa na "matokeo mabaya" kwa mamilioni ya watu…
Kushuka kwa bei ya Viktor Gyokeres kunawaacha Man Utd na Chelsea kwenye vuta ni kuvute
Manchester United na Chelsea wanatarajiwa kuwa mstari wa mbele kwenye foleni ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Sporting Lisbon Viktor Gyokeres na watatiwa moyo na ripoti kwamba bei yake imeshuka. Mchezaji…
Wanajeshi wa Korea Kaskazini watumia Internet kuangalia maudhui ya ndono
Ripoti mpya imeeleza kuwa Wanajeshi wa Korea Kaskazini wanaopigana upande wa Urusi katika vita vya Ukraine wameanza kutazama maudhui ya ngono kwa kiasi kikubwa baada ya kuruhusiwa kutumia Mtandao kwa…
Ripoti: Juventus na Milan wanamfuatilia “Rabiot Mpya”
Milan na Juventus ni miongoni mwa timu zilizovutiwa na Ayyoub Bouaddi, ambaye anashika vichwa vya habari barani Ulaya kwa uchezaji wake mkali akiwa na umri wa miaka 17 pekee na…
Ange Postecoglou kuchagua kikosi kabla ya pambano dhidi ya Galatasaray
Kocha wa Tottenham Ange Postecoglou anatazamiwa kuchagua kikosi imara dhidi ya Galatasaray kwenye Ligi ya Europa Tottenham Hotspur wana mechi mbili zaidi za kucheza hadi mapumziko yajayo ya kimataifa baada…
Je Cristiano Ronaldo atahamia Al-Hilal kuwa mbadala wa Neymar?
Safari ya Neymar na Al-Hilal imejawa na majeraha, hivyo kupunguza muda wake uwanjani na kuzua maswali kuhusu mustakabali wake na klabu hiyo ya Saudia. Miezi michache tu baada ya uhamisho…
Victor Osimhen arejea Nigeria, kikosi imara kwa ajili ya kufuzu AFCON
Mshambulizi wa Galatasaray, Victor Osimhen amerejea kwenye kikosi cha Nigeria baada ya kukosa mechi ya mwezi uliopita ya kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Libya. Mshambulizi huyo…
Rais Mwinyi: SMZ kujenga kiwanja kipya cha mpira kwa Afcon2027
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameendelea na ziara ya kikazi nchini China ambapo leo amekutana na kampuni mbalimbali zinazolenga kuwekeza Zanzibar.…