Vilabu vya Premier League vinatarajiwa kupiga kura kuhusu marekebisho ya kanuni za fedha
Vilabu vya Premier League vinatazamiwa kupiga kura baadaye mwezi huu juu ya marekebisho ya sheria za kifedha zilizopingwa na Manchester City. Mabingwa hao walikuwa wameanzisha kesi ya usuluhishi kwa kupinga…
Kamala Harris akubali kushindwa katika Uchaguzi wa Marekani 2024,atoa hotuba nzito
Baada ya ushindi mkali wa mgombea mweza Donald Trump mgombea urais wa chama cha Democratic Kamala Harris amesema kwamba inafaa kukubali matokeo ya uchaguzi na kukubali kushindwa iwapo tutashindwa. Katika…
Mdahalo mzito wanaotaka kuongoza Jumuiya ya wafanyabiashara wa kariakoo
Leo kumekuwa na mdahalo wa wgombea wa uongozi wa wafanyabiashara wa soko la kimataifa Karia koo ambao wagombea wanafasi ya kuanzia mwenyekiti mpaka mtumza fedha wa jumuiya ya wafanyabiashara hao…
Mkuu wa Umoja wa Mataifa ampongeza Donald Trump kwa ushindi
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amempongeza Donald Trump kwa ushindi wake katika uchaguzi wa rais wa Marekani akisema anatazamia kufanya kazi naye. Wakati wa muhula wake wa…
Australia yapendekeza kupiga marufuku mitandao ya kijamii kwa watoto walio chini ya umri wa miaka 16
Serikali ya Australia ilitangaza siku ya Alhamisi kile ilichotaja kuwa sheria inayoongoza duniani ambayo itaweka kikomo cha umri wa miaka 16 kwa watoto kuanza kutumia mitandao ya kijamii, na kushikilia…
Rais Mwinyi aitembelea bandari ya Shaghai
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, katika mwendelezo wa ziara yake ya kikazi nchini China, leo ametembelea Bandari ya Shanghai International Port…
CCM kutumia 4R za rais Samia katika uchaguzi serikali za mitaa :CPA Makala
KATIBU wa İtikadi Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)CPA Amoss Makalla amewaomba wanachama wa Chama hicho nchi nzima kufahamu kuwa uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu utaongozwa na R4…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 7, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 7, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 7, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 7, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Benjamin Mendy ashinda kesi ya mishahara ambayo hajalipwa dhidi ya Manchester City
Ripoti ya vyombo vya habari vya Uingereza ilisema kuwa nyota wa Ufaransa Benjamin Mendy alishinda kesi yake dhidi ya klabu yake ya zamani ya Uingereza, Manchester City. Kwa mujibu wa…