Jeshi la China latoa onyo kwa vijana wake juu ya kamari na mapenzi ya mtandaoni
Jeshi la Wanamaji la China limetoa onyo kwa Maafisa na Wanajeshi Vijana kuhusu hatari za kujiingiza katika mapenzi ya mtandaoni na kucheza kamari ya Mtandaoni ambapo onyo hili liliwalenga hasa…
Al Hilal wanamtaka Salah kabla ya Kombe la Dunia la Vilabu kuanza Juni
Ripoti ya vyombo vya habari vya Uingereza ilisema kuwa Klabu ya Al-Hilal Saudi inalenga kumsajili nyota wa Misri Mohamed Salah. Salah, 31, mkataba wake unamalizika mwishoni mwa msimu huu, na…
Amorim atoa onyo kwa mashabiki wa Man Utd
Ruben Amorim amewaonya mashabiki wa Manchester United wasitarajie mafanikio ya papo hapo wakati ambapo anafanya kuiunda timu upya kuupata ushindi. Amorim anaondoka Sporting CP na kuelekea United baada ya kusimamia…
Arteta ‘klabu ipo tayari kumenyana na Inter Milan na tutashinda’
Mkufunzi wa Arsenal Mikel Arteta amekiri kuwa na furaha kuelekea mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Inter Milan leo usiku nakutaja kutarajia mazuri kutoka kwenye klabu yake. Arteta pia…
Manchester City bado wanawinda kiungo mpya mwezi Januari
Man City inafuatilia majina mawili ya viungo wapya kwa ajili ya soko la Januari kulingana na ripoti. Jeraha la mwisho la goti la Rodri litaifanya City kutafuta mbadala wake wakati…
Newcastle United yungana na Liverpool kwenye mbio za kuwania beki wa kati
Newcastle United wanaripotiwa kuwa miongoni mwa wachezaji wa hivi punde wanaowania uhamisho wa beki wa Sevilla na tetesi zinazolengwa na Liverpool Loic Bade. Ilidaiwa hivi majuzi na Todo Fichajes kwamba…
Rais William Ruto awasili mjini Juba Sudan Kusini
Rais wa Kenya William Ruto amewasili mjini Juba, Sudan Kusini, kwa mazungumzo na Rais Salva Kiir Mayardit kuhusu mchakato wa amani uitwao Tumaini Initiative, ikulu ya Kenya imesema. Wiki jana,…
Ukraine yaripoti kuharibu ndege 38 za Urusi
Jeshi la Ukraine lilisema Jumatano kwamba lilidungua ndege 38 kati ya 63 za anga ambazo vikosi vya Urusi vilianzisha katika mashambulizi ya usiku. Kikosi cha anga cha Ukraine kilisema kilinasa…
Machafuko yazuka Bungeni,wabunge washushiana vichapo Uganda
Katika hali ya kushangaza katika Bunge la Uganda hii leo wabunge waliingia katika Mjadala mkali ulisababisha ugomvi na mapigano na kupelekea kuahirishwa kwa shughuli za bunge. Tukio hilo lilitokea wakati…
Kwa mara ya kwanza wanawake weusi wawili wapata nafasi katika seneti ya Marekani
Katika Uchaguzi wa hivi karibuni Nchini Marekani, Wanawake weusi wameandika historia kwa kushinda viti viwili vya Seneti kwa mara ya kwanza ambao ni Lisa Blunt Rochester kutoka Delaware pamoja na…