Arsenal kuchuana na Man United na Newcastle kwenye uhamisho wa mshambuliaji mahiri
Arsenal ndio klabu ya hivi punde kuonyesha nia ya kutaka kumsajili kwa mkopo mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Randal Kolo Muani kabla ya dirisha la usajili la Januari. Mchezaji huyo wa…
Je, Ruben Amorim anaweza kumleta Ousmane Diomande naye Man United?
Meneja wa Manchester United Ruben Amorim amekuwa na mawasiliano na nyota wake wa zamani wa Sporting Lisbon Ousmane Diomande kuhusu uwezekano wa uhamisho wa kwenda Old Trafford. Beki huyo mchanga…
Potter yupo mbele ya Van Nistelrooy kupata mikoba ya kuinoa Leicester
Graham Potter anakadiriwa kuwa mbele ya Ruud van Nistelrooy ndani ya Leicester City wanapotafuta uteuzi mpya wa meneja mpya. The Foxes walitangaza Jumapili alasiri kufukuzwa kwa Steve Cooper baada ya…
Baba wa Neymar anasisitiza mustakabali wa mwanae bado haujaamuliwa
Mshambulizi huyo wa zamani wa Barcelona amekuwa akihusishwa na kurejea katika klabu yake ya zamani ya Santos huku mkataba wake ukimalizika. Lakini Neymar Snr aliiambia Roundcast: "Tutasubiri na kuona nini…
Mo Salah hajapokea ofa mpya ya mkataba kutoka kwa Liverpool
Mshambulizi wa Liverpool Mohamed Salah anasema "amesikitishwa" na klabu hiyo kushindwa kumpa kandarasi mpya - na anaonekana uwezekano mkubwa wa kuondoka kuliko kubaki. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32,…
Tarehe 27 watumishi ZNZ kazini kama kawaida
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na Msemaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Charles Hillary ametoa taarifa kwa watumishi wa Umma Kuhusu utaratibu wa watumishi wa serikali kuendea na kazi kama…
Mfanyakazi mnene aishitaki kampuni kwa kupewa nafasi ndogo ya kufanyia kazi
William Martin, Mfanyakazi wa Maktaba ya Umma ya New York mwenye uzito wa kilo 163 na urefu wa futi 6 na inchi 2, amefungua kesi dhidi ya Mwajiri wake akidai…
Ex wa Elon musk afunguka changamoto za malezi zilizomfanya kufilisika
Msanii wa muziki Grimes, jina lake halisi Claire Boucher, ameeleza changamoto alizokutana nazo katika kesi ya malezi dhidi ya aliyekuwa mwenzi wake, Elon Musk. Kupitia mtandao wa X, Grimes alisema…
Kilo 2207 zadakwa huku nyingine zikiwa kwenye chassis ya Scania
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya dola, imekamata jumla ya kilogramu 2,207.56 za dawa za kulevya na dawa tiba zenye…
Sho Madjozi atangaza kustaafu muziki
Mwanamuziki kutoka Afrika Kusini Sho Madjozi aliyetamba na ngoma ya "John Cena", Ametangaza Rasmi Kuacha Kufanya Muziki punde tu Atakapoachia album yake hivi karibuni. Muimbaji Huyu Alisikika Kwenye Interview Katika…