Ushindi wa Trump huenda ikawa habari mbaya kwa Ukraine -Rais wa zamani wa Urusi
Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev alisema Jumatano kwamba ushindi wa Donald Trump katika uchaguzi wa Marekani huenda ukawa habari mbaya kwa Ukraine, lakini akasema haijafahamika ni kwa kiasi…
Afisa wa Hamas anasema Trump atajaribiwa kwa muda kwa ahadi yake ya kusimamisha vita atakapochaguliwa
Afisa mkuu wa Hamas Sami Abu Zuhri alisema Donald Trump anapaswa kujifunza kutokana na makosa ya Biden baada ya Trump kuutangaza ushindi dhidi ya Kamala katika uchaguzi wa rais wa…
Netanyahu ampongeza Trump
Viongozi mashuhuri wa Israel, akiwemo Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, walijitokeza kwenye mitandao ya kijamii kumpongeza Rais wa zamani Donald Trump kwa kutarajiwa kurejea Ikulu ya White House kufuatia matokeo ya…
Donald Trump ajitangaza kama mshindi wa Urais Marekani
Baada ya Trump wa chama cha Republican, Jumatano kushinda kinyang’anyiro cha urais baada ya Fox News kukadiria kwamba alikuwa amemshinda Kamala Harris wa Democratic, jambo ambalo limerejesha ushawishi wake kisiasa…
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amfuta kazi waziri wake wa ulinzi
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu ametangaza siku ya Jumanne, Novemba 5, kumtimua Yoav Gallant kwenye wadhifa wa Waziri wa Ulinzi. Nafasi yake inachukuliwa na Israel Katz aliyeshika wadhifa wa…
Kapinga atoa maagizo Tanesco
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga kufanya mapitio…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 6, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 6, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 6, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 6, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Alijirekodi video 400 za utupu Guinea akamatwa,uchunguzi unaendelea
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Kifedha nchini Equatorial Guinea (ANIF), Baltasar Engonga, amekamatwa kufuatia madai kwamba alirekodi zaidi ya video 400 za utupu zilizowaonyesha wake wa…
Bil 18 zimehusisha matengenezo miundombinu ya BRT (ferry-kimara, magomeni-morocco na fire-msimbazi)
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam inatekeleza mradi wa matengenezo (maintenance) ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya kwanza chini ya mradi wa OPBRC…