Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 6, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 6, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 6, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 6, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Alijirekodi video 400 za utupu Guinea akamatwa,uchunguzi unaendelea
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Kifedha nchini Equatorial Guinea (ANIF), Baltasar Engonga, amekamatwa kufuatia madai kwamba alirekodi zaidi ya video 400 za utupu zilizowaonyesha wake wa…
Bil 18 zimehusisha matengenezo miundombinu ya BRT (ferry-kimara, magomeni-morocco na fire-msimbazi)
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam inatekeleza mradi wa matengenezo (maintenance) ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya kwanza chini ya mradi wa OPBRC…
Idadi ya vifo kutokana na mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon inazidi 3,000
Mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon yameua zaidi ya watu 3,000 katika miezi 13 ya mapigano kati ya Hezbollah na wanajeshi wa Israel mpakani, Wizara ya Afya ya Umma ya…
Wamarekani wanaelekea kupiga kura huku kampeni zenye misukosuko zikikamilika
Wapiga kura wa Marekani wanaelekea kwenye uchaguzi Jumanne kuchagua viongozi wajao wa nchi hiyo katika jaribio kubwa la kidemokrasia ambapo makumi ya mamilioni ya kura zitapigwa . Lakini madai ya…
Takriban watu 25 wamefariki kwenye visiwa vya Comoro
Takriban watu 25 walikufa kwenye visiwa vya Comoro baada ya walanguzi wa watu kupindua mashua yao Ijumaa usiku, shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM lilisema Jumatatu, tukio la…
Je, Chelsea wanapaswa kumuuza Enzo Fernandez ?
Kiungo wa kati wa Chelsea Enzo Fernandez anaripotiwa kuwavutia Barcelona na Inter Milan baada ya kuachwa tena katika kikosi cha kwanza cha Enzo Maresca dhidi ya Manchester United. Mchezaji huyo…
Tottenham, Aston Villa na Newcastle ziko kwenye vita ya uhamisho wa wachezaji wa pembeni
Tottenham, Aston Villa na Newcastle United ni miongoni mwa vilabu vinavyoonyesha nia ya kutaka uhamisho wa winga wa Boca Juniors Kevin Zenon Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 amekuwa…
Korea Kaskazini imefanyia majaribio ya makombora kadhaa ya masafa mafupi
Korea Kaskazini ilifanyia majaribio makombora kadhaa ya masafa mafupi Jumanne asubuhi, nchi jirani za Korea Kusini na Japan zilisema. Jeshi la Korea Kusini "limegundua na linachambua makombora kadhaa ya masafa…