Korea Kaskazini imefanyia majaribio ya makombora kadhaa ya masafa mafupi
Korea Kaskazini ilifanyia majaribio makombora kadhaa ya masafa mafupi Jumanne asubuhi, nchi jirani za Korea Kusini na Japan zilisema. Jeshi la Korea Kusini "limegundua na linachambua makombora kadhaa ya masafa…
Frank Lampard anakaribia kupata kazi Roma
Ingawa alitajwa kuwa meneja mbaya zaidi wa Chelsea wakati wa Roman Abramovich, Frank Lampard anatarajiwa kuchukua mikoba ya Ivan Juric katika miamba ya Serie A, Roma. Kwa sasa mchambuzi wa…
Man United kumsajili kinda mwenye umri wa miaka 21 kutoka Benfica
Manchester United wanaweza kukamilisha uhamisho wa beki wa kushoto wa Benfica Alvaro Carreras chini ya meneja anayekuja Ruben Amorim, kwa mujibu wa Alvaro Magalhaes. Mchezaji huyo wa zamani wa Benfica…
Zaidi ya wanafunzi 11,923 wa Kipalestina waliuawa na 19,199 kujeruhiwa tangu kuanza kwa uvamizi wa Israeli mnamo Oktoba 7
Wizara ya Elimu ilisema kuwa wanafunzi 11,923 waliuawa na 19,199 walijeruhiwa tangu kuanza kwa uvamizi wa Israeli kwenye Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi mnamo Oktoba 7, 2023. Wizara…
Judith Ngusa kuiwakilisha Tanzania Miss Universe Mexico
Shindano la 73 la Miss Universe linapokaribia, washiriki 19 wa Kiafrika wako tayari kuonyesha vipaji, ulimbwende na tamaduni bila kusahau utetezi wa nchi zao nchini Mexico mnamo Novemba. Shindano la…
Maafisa walioonekana kwenye video ya ngono ya Baltasar Ebang kufutwa kazi Guinea
Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema Serikali ya Nchi hiyo itawatimua kazini Maafisa na Watumishi wote wa Umma ambao ni miongoni mwa Wanawake zaidi ya…
Aliyeoa mdoli asherehekea mwaka wake 6 kwenye ndoa
Mwanamume mmoja kutoka Japan, Akihiko Kondo, anasherehekea mwaka wa sita wa ndoa yake na Mkewe wa kubuni, Hatsune Miku, ambaye ni mhusika maarufu katika Tamthilia za anime ambaye anajulikana kama…
Wanajeshi wa Korea Kaskazini walioko Ukraine waongezeka hadi 11,000, Zelenskiy ahofia kushindwa
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy alisema mnamo Novemba 4 kwamba wanajeshi 11,000 wa Korea Kaskazini wamefika eneo la Kursk la Urusi, kulingana na mashirika ya kijasusi ya Kyiv. Zelenskiy alisema…
Mashirika ya Marekani yaonya Urusi, Iran kwa taarifa za kuhatarisha na kupotosha kuhusu uchaguzi
Maafisa wa kijasusi wa Marekani na maafisa wa usalama wamezishutumu Urusi na Iran kwa kuanzisha mashambulizi ya mtandaoni na kampeni za kutoa taarifa potofu ili kuzusha mifarakano wakati Wamarekani wakielekea…
Mashirika yanahimiza Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kusitisha utumwaji wa silaha kwa Israel
Muungano wa nchi na mashirika 54 ulitoa wito kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatatu kutaka hatua za haraka zichukuliwe kusitisha utumwaji wa silaha na zana…