Maafisa walioonekana kwenye video ya ngono ya Baltasar Ebang kufutwa kazi Guinea
Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema Serikali ya Nchi hiyo itawatimua kazini Maafisa na Watumishi wote wa Umma ambao ni miongoni mwa Wanawake zaidi ya…
Aliyeoa mdoli asherehekea mwaka wake 6 kwenye ndoa
Mwanamume mmoja kutoka Japan, Akihiko Kondo, anasherehekea mwaka wa sita wa ndoa yake na Mkewe wa kubuni, Hatsune Miku, ambaye ni mhusika maarufu katika Tamthilia za anime ambaye anajulikana kama…
Wanajeshi wa Korea Kaskazini walioko Ukraine waongezeka hadi 11,000, Zelenskiy ahofia kushindwa
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy alisema mnamo Novemba 4 kwamba wanajeshi 11,000 wa Korea Kaskazini wamefika eneo la Kursk la Urusi, kulingana na mashirika ya kijasusi ya Kyiv. Zelenskiy alisema…
Mashirika ya Marekani yaonya Urusi, Iran kwa taarifa za kuhatarisha na kupotosha kuhusu uchaguzi
Maafisa wa kijasusi wa Marekani na maafisa wa usalama wamezishutumu Urusi na Iran kwa kuanzisha mashambulizi ya mtandaoni na kampeni za kutoa taarifa potofu ili kuzusha mifarakano wakati Wamarekani wakielekea…
Mashirika yanahimiza Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kusitisha utumwaji wa silaha kwa Israel
Muungano wa nchi na mashirika 54 ulitoa wito kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatatu kutaka hatua za haraka zichukuliwe kusitisha utumwaji wa silaha na zana…
Uingereza yatangaza kisa cha 3 cha Mpox
Uingereza iliripoti Jumanne kesi mbili mpya za mpox, inayojulikana kama clade 1b, na kuongeza idadi ya jumla ya nchi hiyo kufikia tatu. Shirika la Usalama wa Afya la Uingereza (UKHSA)…
Nigeria: Tinubu aamuru kuachiliwa kwa watoto wanaoandamana,hakuna kuuawa
Rais wa Nigeria Bola Tinubu aliamuru Jumatatu (Nov. 04) kuachiliwa mara moja kwa watoto wote wanaokabiliwa na kesi kwa sasa kwa kushiriki katika maandamano ya gharama ya maisha. Tangazo hilo…
P Diddy atimiza umri wa miaka 55,watoto wamtakia heri
Watoto saba wa Rapper Sean Combs maarufu Diddy ambaye November 4 2024 ametimiza umri wa miaka 55, wameungana saa kadhaa zilizopita kuwasiliana kwa simu na kumtakia Baba yao heri ya…
Vijana na Wanawake jiungeni kwenye vikundi vya wajasiriamali.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh Saad Mtambule amewataka wajasiriamali kujiunga kwenye vikundu ili vitambulike na kuviwezesha kupata mikopo ya serikali kwa urahisi ikiwemo kutoka halimashauri. Mh Saad Mtambule ameyeasema…
Wajasiriamali wa nchi wanachama EAC wahamasishwa kuwa wabunifu
Wajasiriamali wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wametakiwa kuhakikisha wanakuwa wabunifu na kuongeza ujuzi ili kutengeneza bidhaa zenye ubora zaidi. Kauli hiyo imetolewa Jana Novemba 3, 2024…