Ukaguzi waokoa zaidi ya Bilioni 15 zisipigwe, PPRA yanena mazito
Serikali kupitia Mamlaka ya udhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) imesema itaendelea kuweka mazingira mazuri katika matumizi ya Teknolojia na Tehama kwa lengo la kurahisisha Ununuzi wa umma na kuweka usimamizi.…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 5, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 5, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 5, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 5, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Majeruhi watatu ajali ya lori Tabora wapelekwa KCMC
Adam Jamal,Samweli Ayo na Laiko ngweta ni miongoni mwa majeruhi wa ajali ya gari Aina ya Kamaz Lori iliyotokea usiku wa kuamkia Novemba 3 mwaka 2024 mkoani Tabora wamehamishiwa Katka…
Trilioni 1.18 zatumika kujenga miundombinu ya Afya kipindi cha miaka mitatu ya serikali ya awamu ya 6.
Takribani shilingi Trilioni 1.18 zimetumika kujenga miundombinu ya Afya kwaajili ya kutoa huduma za Afya ya msingi na kununua vifaa na vifaa tiba nchini katika kipindi cha miaka mitatu ya…
Picha :Wasanii walivyolia kwa uchungu msibani wakimuaga Grace
Hawa hapa Mastaa wa filamu na viongozi mbalimbali walia kwa uchungu sana wakimuaga mwigizaji mwenzao Grace Mapunda leo leaders.
Msaidizi wa Netanyahu akamatwa baada ya uchunguzi,avujisha siri
Mahakama ya Israel ilisema Jumapili kwamba msemaji wa zamani wa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amekamatwa kwa tuhuma za kuvujisha nyaraka za siri kwa vyombo vya habari bila kibali, jambo ambalo…
Korea Kusini yaapa ‘kumlinda’ Son Heung-min baada ya kuumia
Son Heung-min alijumuishwa katika kikosi cha Korea Kusini kilichotajwa Jumatatu kwa ajili ya mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia mwezi huu, huku kocha Hong Myung-bo akiapa "kulinda afya yake".…
Wakazi wa Israel wateketeza karibu magari 20 ya raia wa Palestina
Wakazi wa Israel waliteketeza karibu magari 20 mapema Jumatatu katika mji unaokaliwa wa Al-Bireh ulio Ukingo wa Magharibi karibu na Ramallah, kulingana na walinzi wa raia wa Palestina na chanzo…
Kurudi kwa Alonso anfield,Unabashiri nini?
Xabi Alonso anarejea Anfield kwa mara ya kwanza Novemba 5, wakati timu yake ya Bayer Leverkusen ikimenyana na Liverpool kwenye Ligi ya Mabingwa, kombe ambalo aliwasaidia Wekundu hao kushinda 2005.…