Picha ;Namna Mbappe alivyosherehekea birthday ya Hakimi
Kylian Mbappe alitumia Instagram kusherehekea miaka 26 ya kuzaliwa kwa rafiki yake wa karibu Achraf Hakimi kitofauti. Mbappe alishiriki picha kadhaa zinazoangazia urafiki wao, ikiwa ni pamoja na picha ya…
Konate aonekana katika mazoezi kabla ya pambano la Bayer Leverkusen
Ibrahima Konate ameonekana kwenye mazoezi ya timu kamili kabla ya Liverpool kumenyana na Bayer Leverkusen katika Ligi ya Mabingwa. "Asante kwa ujumbe wote wa msaada. Jeraha langu si baya sana,”…
PICHA :Mazishi ya Jenerali mstaafu David Musuguri nyumbani kwake katika Kijiji cha Butiama
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dotto Biteko amewaongoza wananchi na waombolezaji katika mazishi ya Jenerali mstaafu David Musuguri nyumbani kwake katika Kijiji cha Butiama, wilaya Butiama mkoani Mara…
Idadi ya visa vya ugonjwa wa Mpox nchini Kongo yapungua
Idadi ya visa vya ugonjwa wa mpoksi nchini Kongo inaweza kuwa shwari lakini kuna hitaji zaidi la chanjo zaidi. Baadhi ya maafisa wa afya wanasema kesi za mpox nchini Kongo…
Israel imemuua kamanda wa ngazi ya juu wa Hezbollah
Jeshi la Israel lilisema siku ya Jumatatu kuwa limemuua kamanda mkuu wa Hezbollah linalomtuhumu kusimamia mashambulizi ya makombora ya roketi na vifaru dhidi ya wanajeshi wa Israel kusini mwa Lebanon…
Israel yasitisha rasmi uhusiano na UNRWA
Israel imesema Jumatatu kuwa imesitisha mahusiano yake na Shirika la Umoja wa Mataifa linalowashughulikia wakimbizi wa Palestina UNRWA. Wakati huo huo jeshi la Israel limedai kuwa limemuuwa kamanda mmoja mkuu…
Rais Mwinyi awasili nchini China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akimbatana na Mke wake Mhe. Mama Mariam Mwinyi amewasili katika uwanja wa ndege wa Pudong International Airport,…
Takriban watu 500,000 wamekimbia Lebanon kuelekea Syria tangu Septemba
Takriban watu 472,000 wamekimbia Lebanon kuelekea Syria tangu Septemba 23, kufuatia kuongezeka kwa mzozo kati ya Israel na Hezbollah, kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la…
Familia za Ufaransa zaishtaki TikTok kwa kushindwa kuondoa maudhui hatari
Familia saba za Ufaransa zimefungua kesi dhidi ya kampuni kubwa ya mitandao ya kijamii ya TikTok, ikishutumu jukwaa hilo kwa kuonesha watoto wao maudhui mabaya ambayo yalisababisha wawili kati yao…
Mawakili wa Diddy waomba mahakama kuzuiliwa kwa wanaibuka kudai kuwa waathiriwa
Mawakili wa Sean "Diddy" Combs wanatafuta kuzuiliwa kwa kelele nyingi za waathiriwa katika kesi yake ya jinai inayoendelea, wakitaja kile wanachoelezea kama "mafuriko ya utangazaji usiofaa wa waathiriwa" ambao unaweza…