Caicedo: Tulistahili ushindi dhidi ya Man Utd
Kiungo wa kati wa Chelsea Moises Caicedo anasisitiza kuwa walistahili zaidi ushindi baada ya sare ya 1-1 Jumapili na Manchester United. Caicedo alifunga bao la kusawazisha kwenye Uwanja wa Old…
Liverpool walipaswa kumsajili Kaoru Mitoma -Mkurugenzi wa zamani
Mkurugenzi wa zamani wa utafiti wa Liverpool amekiri kuwa walipaswa kumsajili Kaoru Mitoma. Liverpool ilimsajili kiungo wa kati Aleixs Mac Allister kutoka Albion, ambao walishinda 2-1 kwenye uwanja wa Anfield…
Dalot: Amorim ni mtu bora kabisa kwa Man Utd
Beki wa kulia wa Manchester United Diogo Dalot anaamini kuwa klabu hiyo imefanya uamuzi sahihi kumteua Ruben Amorim. Dalot, ambaye alikuwa kipenzi cha kocha wa awali Erik ten Hag, anaamini…
Israel yapiga hospitali za Gaza,mashambulizi bado yanaendelea
Mashambulio makubwa yaliyofanywa na Israel mapema Jumatatu huko Gaza yamesababisha vifo vya Wapalestina na uharibifu mkubwa. Shirika la habari la Wafa limeripoti kuwa mashambulizi ya mizinga ya Israel yamesababisha vifo,…
Mkurugenzi wa michezo wa Arsenal Edu kuondoka ,pigo kubwa kwa Mikel Arteta
Mkurugenzi wa michezo wa Arsenal, Edu Gasper anatarajiwa kuondoka klabuni hapo, hatua inayotajwa kuwa pigo kubwa kwa kocha Mikel Arteta. Edu, Raia wa Brazil na kiungo wa zamani wa Arsenal…
Mwanamke wa Iran azuiliwa baada ya kuvua nguo nje ya chuo kikuu cha Tehran
Mwanafunzi wa kike alivuliwa nguo zake nje ya chuo kikuu chake nchini Iran katika kile ambacho baadhi ya wanafunzi na mashirika ya kutetea haki za binadamu yanasema ni maandamano dhidi…
Watoto 29 huenda wakahukumiwa kifo kwa kuandamana nchini Nigeria
Watoto 29 Nchini Nigeria wanaweza kufikishwa kwenye hukumu ya kifo baada ya kushiriki Maandamano dhidi ya gharama kubwa za maisha Nchini humo. Watoto hao, wenye umri wa miaka 14 hadi…
14 wauawa kwa kupigwa na radi nchini Uganda
Mlipuko wa radi kwenye kanisa moja nchini Uganda uliua takriban watu 14 na kuwajeruhi 34 walipokuwa wamekusanyika kwa ajili ya maombi Jumamosi, polisi walisema Tukio hilo lilitokea katika kambi ya…
Dar-Harare Live Your Dream Road Tour 2024 hivi karibuni..
Jitayarishe kwa tukio kuu na maalumu la Kiafrika! Ziara ya "Live Your Dream Tour" ni safari ya kusisimua, itakayoenea bara zima kusherehekea ubora wa Afrika, umoja, na ari isiyoyumba ya…
Halmashauri ya Ifakara Mji kutoa Mikopo yenye thamani ya shilingi Milioni mia Tisa kwa robo mwaka .
Halmashauri ya Wilaya ya Ifakara Mji iliyopo Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro imetenga zaidi ya shilingi Milioni mia Tisa kwa ajili ya mikopo ya asilimia Kumi ya Wanawake,Walemavu na vijana.…