Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 9, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania February 9, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 9, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam February 9, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Dough Works Limited (DWL) imefungua mgahawa wake wa 11 wa KFC
Kampuni ya Dough Works Limited (DWL) imefungua mgahawa wake wa 11 wa KFC katika Stesheni ya SGR Magufuli, na kuongeza urahisi wa upatikanaji wa huduma ya Chakula, kuongeza ajira, lakini…
Michezo Maarufu Zaidi ya Kubeti Tanzania
Kubeti ni moja ya burudani zinazopendwa sana nchini Tanzania, na idadi kubwa ya watu hushiriki wakijipatia nafasi ya kushinda pesa huku wakifurahia michezo wanayoipenda. Wakati soko la kubashiri linakua kwa…
Kuachiliwa kwa wafungwa 183 wa Kipalestina kumeanza
Kundi la wapiganaji wa Kipalestina la Hamas linatazamiwa kuwakabidhi mateka watatu wa Israel siku ya Jumamosi ili kubadilishana na wafungwa na wafungwa wa Kipalestina katika hatua ya hivi punde ya…
Dkt.Jakaya aweka jiwe la msingi ukumbi wa shule ya Sekondari Bulagwa
Rais Msitaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mapema leo February 8, 2025 amewasili wilayani Bukombe Mkoani Geita na kuweka Jiwe la Msingi katika Ukumbi wa Shule ya…
Rais wa Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki alivyowasili nchini Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Mhe. William Samoei Ruto amewasili Nchini Tanzania na kupokelewa na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso. Mhe.…
Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame awasili nchi Tanzania
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amempokea Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame ambaye amewasili nchini kushiriki…
Uvutaji bangi,uporaji,wizi,wakera baraza la Madiwani Manispaa ya Geita
Baraza la Madiwani katika Manispaa ya Geita Mkoani Geita limesikitishwa na Baadhi ya Vitendo vya Uvunjifu wa amani ambavyo vimekuwa vikifanywa na Baadhi ya Vijana wilayani humo huku wakiviomba vyombo…
Rais Miseveni awasili Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni amewasili nchini Tanzania na kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa…