Grace Mapunda kuzikwa leo
Tayari mwili wa Mwigizaji Mkongwe Grace Mapunda ukiwa Nyumbani kwake Sinza Vatican kwaajili ya ibada fupi itakayofanyika Nyumbani hapo kisha Baadae kuelekea leaders mahali ambapo zitafanyika shughuli za mazishi ikiwemo…
Udumavu unachangia tatizo la kufikiri
Wananchi katika Halmashauri ya wilaya ya Geita wameshauliwa kula chakula kwa kuzingatia Makundi sita ya Lishe Bora ili kuepukana na Magonjwa yasiyo ya Kuambukiza. Kauri hiyo imetolewa na Mkuu…
Polisi waingia nyumbani kwa Nabii GeorDavie,wakabidhiwa gari ya Million 30 aliyoitengeneza
Nabii Mkuu Dkt GeorDavie amekabidhi gari moja la mkuu wa kituo cha polisi Tengeru kati ya mawili anayoyatengeneza kwa jeshi la polisi Mkoani Arusha kwa lengo la kupambana na uhalifu…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 2, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 2, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 2, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 2, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Dylan Mobetto amelamba Shavu la kujiunga na Juventus Academy
Mtoto wa Staa wakike bongo Hamisa Mobetto ambaye anaitwa Dylan Mobetto amelamba Shavu la kujiunga na Academy ya timu ya mpira ya Juventus hapa bongo akiwa kama Balozi wao ambapo…
Serikali imefanikiwa kukusanya jumla ya Bilioni 325.3 tangu DP World waanze kuendesha Bandari ya Dar es Salaam
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema katika kipindi cha miezi mitano Aprili hadi Septemba 2024 tangu DP World waanze kuendesha Gati 0-7 katika…
Bashungwa asisitiza TANROADS haiko hoi, miradi 87 yaendelea kutekelezwa
Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) imesaini mikataba 93 yenye jumla ya Shilingi Bilioni 868.56 kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya dharura ya barabara na madaraja iliyoathiriwa na mvua…
Benki ya Dunia yaridhisha maradi wa HEET chuo Kikuu Mzumbe
Benki ya Dunia imeonesha kuridhishwa na hatua za utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa majengo ya kisasa pamoja na kituo cha kuendeleza ubunifu (incubation center) katika Chuo Kikuu Mzumbe. Mradi…
Maboresho ya Mahakama Yarahisisha Upatikanaji wa Haki kwa Wananchi
Katika jitihada za kuboresha upatikanaji wa haki kisheria, Mahakama imefanya maboresho ya kanuni ambazo zimerahisisha mchakato wa kupata haki kwa wananchi, hususan kwa wajasiriamali wadogo. Maboresho haya yanapanua wigo wa…