Prof. Kitila Mkumbo aeleza mafanikio ya uwekezaji wa DP World na Mradi wa SGR
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -Mipango na Maendeleo, Mheshimiwa Prof. Kitila Mkumbo, leo tarehe 01 Novemba 2024 amewasilisha mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26 lakini…
Ruben Amorim rasmi meneja mpya Manchester United
Ruben Amorim ametangazwa rasmi kuwa meneja mpya wa Manchester United baada ya kukamilisha makubaliano na Sporting Lisbon. Mazungumzo yamekuwa yakiendelea kwa siku kadhaa lakini Red Devils wamekubali kulipa €10million (£8.3m)…
Tarehe ya droo ya Kombe la Dunia la vilabu
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limetaja tarehe ya droo ya Kombe la Dunia la Vilabu la 2025 katika toleo lake jipya, pamoja na uwepo wa timu 32.…
Takriban watu 15 wameuawa katika shambulizi katika jimbo la Benue nchini Nigeria
Takriban watu 15 wameuawa katika shambulio la majambazi wenye silaha katika jimbo la Benue nchini Nigeria, vyombo vya habari vya ndani viliripoti Alhamisi. Watu kadhaa pia walijeruhiwa wakati wavamizi hao…
Mkufunzi wa Arsenal athibitisha mazungumzo ya mkataba wa Partey
Mkufunzi wa Arsenal Mikel Arteta anasema mazungumzo ya kandarasi mpya yamepangwa kwa kiungo Thomas Partey. Kiungo huyo wa kati wa Ghana, 31, ataondoka kandarasi mwishoni mwa msimu. Kabla ya safari…
Israel yawauwa watu 55 zaidi wa Gaza huku idadi ya vifo ikiongezeka na kufikia 43,200
Takriban Wapalestina wengine 55 waliuawa katika mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Gaza, na kufanya jumla ya vifo tangu mwaka jana kufikia 43,259, Wizara ya Afya katika eneo hilo ilisema…
Vilabu vikubwa zaidi barani Ulaya vinaizunguka Real Madrid kumnunua Vinicius Jr.
Relevo anasema Vinicius Jr amepinga majaribio ya Real Madrid ya kutaka kuanzisha mazungumzo ya kandarasi mpya. Mkataba wa sasa wa mshambuliaji huyo wa Brazil utafikia 2027. Na uamuzi wake wa…
Romano afichua urefu wa mkataba wa Amorim,hati zote zipo tayari
Manchester United inakaribia kutangaza rasmi kumsajili kocha Ruben Amorim ili kuchukua nafasi ya ukocha wa timu hiyo. Kwa mujibu wa mwanahabari Fabrizio Romano, Manchester United na Sporting Lisbon wameandaa nyaraka…
Fermín López kusalia Barcelona hadi 2029
Barcelona wamemzawadia Fermín López katika msimu wa mapema kwa mkataba mpya utakaomweka katika klabu hiyo ya Catalan hadi 2029 na unajumuisha kipengele cha kuachiliwa cha Euro milioni 500 ($544.4m). López,…
Mark Zuckerberg atangaza kuuza zaidi ya hisa Trilion 2 za Meta
Mark Zuckerberg, mwanzilishi, Mkurugenzi Mtendaji na mwenyekiti wa Meta Platforms anasema kuwa META, inapanga kuuza kama dola bilioni 1.3 za hisa zake na hii ni baada ya hisa hisa zake…