Amshambulia abiria mwenzake aliye lala kwenye ndege bila sababu
Mwanamume mmoja nchini Marekani anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu kwa kumpiga abiria aliyekuwa amelala kwenye ndege ya United Airlines. Kwa mujibu wa gazeti la The New Zealand Herald, tukio hilo…
Mwanamke wa Marekani aishtaki Netflix kisa filamu ya ‘The Manhattan Alien Abduction’
Mwanamke wa Marekani ambaye anadai alitekwa nyara na viumbe wageni 'Aliens' ameishtaki Netflix, akisema kuwa filamu ya "The Manhattan Alien Abduction" inamuonyesha yeye kama mhalifu . Linda Napolitano, ambaye sasa…
Safari ya kwanza ya treni ya kisasa yaanza rasmi leo
Safari ya kwanza ya treni ya kisasa ya Electric Multiple Unit (EMU) maarufu kwa jina treni ya Mchongoko imeanza rasmi leo November 1, 2024 kutoka Stesheni Magufuli DSM hadi Stesheni…
Mpox haijadhibitiwa, inaonya Afrika CDC
Msimamizi wa afya wa Umoja wa Afrika ameonya kwamba mlipuko wa mpox bado haujadhibitiwa na kuomba rasilimali ili kuepusha janga "kali zaidi" kuliko COVID-19. "Hali bado haijadhibitiwa, bado tunaendelea kuimarika…
Trump ashitaki kituo cha TV cha Marekani kuhusu mahojiano ya Dk 60 kati yake na Kamala Harris
Mgombea urais wa Marekani Donald Trump amewasilisha kesi mahakamani dhidi ya kituo cha televisheni cha Marekani kwa kile anachoita mahojiano ya "kupotosha" na mpinzani wake Kamala Harris. Kesi dhidi ya…
‘Squid Game 2’ kutoka Nov 26 ,tarajia wasanii wengi mashuhuri
Kulipiza kisasi itakuwa mada kuu katika msimu wa pili unaotarajiwa sana wa " Squid Game," kulingana na mtayarishaji Hwang Dong-hyuk ikipambwa na waigizaji wakubwa na changamoto za kusisimua zaidi kuliko…
Shahidi mpya aibuka katika kesi ya PDiddy, adai kuwa na ushahidi dhidi yake
Katika kesi inayomkabili Sean “Diddy” Combs, shahidi mpya amejitokeza akidai kuwa na taarifa muhimu na ushahidi unaounga mkono tuhuma zinazomkabili. Shahidi huyo alitoa ushahidi wake mbele ya mahakama kuu ya…
Waigizaji wa Avengers waunga mkono kampeni ya Kamala Harris kupitia video
Waigizaji wa Avengers wameonyesha kuunga mkono kampeni ya Kamala Harris siku chache kabla ya Uchaguzi wa Urais wa 2024 wa Marekani . Katika video iliyotolewa na Vanity Fair mnamo Oktoba…
Young Thug ameachiliwa huru baada ya kukiri makosa ya jinai
Rapa Young Thug aliachiliwa kutoka jela siku ya Alhamisi baada ya kukiri mashtaka yanayohusiana na kuhusika na genge, dawa za kulevya na usambazaji bunduki na hii iliashiria kesi ya kushangaza…
Wanawake na watoto kati ya 47 waliuawa katika mashambulizi ya usiku huko Gaza: Ripoti
Shirika la habari la Palestina Wafa linaripoti kuwa mashambulizi ya Israel katika eneo la kati la Gaza Deir el-Balah, kambi ya wakimbizi ya Nuseirat na eneo la az-Zawayda pia yaliwaacha…