Bomu lililotegwa kando ya barabara likiwalenga polisi limeua watu 7, wakiwemo watoto 5 Paistan
Bomu lenye nguvu lililowekwa kwenye pikipiki kando ya barabara lililipuka karibu na gari lililokuwa limewabeba maafisa wa polisi kusini magharibi mwa Pakistani siku ya Ijumaa, na kuua watu saba, wakiwemo…
Korea Kaskazini yarusha kombora la masafa marefu
Korea Kaskazini ilithibitisha kuwa ilirusha kombora la balestiki linalovuka mabara, likiwa ni jaribio la 12 la kombora la Pyongyang mwaka huu. Utawala wa Makombora ulifanya jaribio kali ambalo lilisababisha muda…
Msumbiji inakabiliwa na vikwazo vya mitandao ya kijamii katika mivutano ya uchaguzi
Ufikiaji wa mitandao ya kijamii nchini Msumbiji umezuiwa kwa mara ya pili ndani ya wiki moja, kulingana na shirika la kimataifa la uangalizi wa mtandao wa NetBlocks, kufuatia wito wa…
Ukraine: Mtu mmoja auawa na 35 kujeruhiwa katika shambulio la jana la Urusi
Takriban mtu mmoja amefariki na wengine 35 kujeruhiwa baada ya bomu la Urusi kuligonga jengo la makazi katika mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine, Kharkiv. Mamlaka katika jiji hilo…
Picha: Rais Samia akutana na Mtendaji Mkuu huyu nchini Marekani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation Bi. Alice Albright ambapo mazungumzo hayo yalijikita katika…
Waziri Aweso avalia njuga suala la upatikanaji wa maji Dodoma
Waziri wa Maji *Mh. Jumaa Aweso* jana amefanya ziara katika maeneo ya Miganga-Mkonze na Nkuhungu kuangalia hali ya upatikanaji wa maji Jijini Dodoma na kutoa maelekezo kwa watendaji maji kuimarisha…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 1, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 1, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 1, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 1, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Wabunifu wa mitindo ya mavazi wahudhuria hafla ya Siku ya Shampeni
WAUNDAJI na Wabunifu wa mitindo ya mavazi mbalimbali nchini wamehudhuria na kushehekea hafla ya Siku ya Shampeni iliyoandaliwa na kuadhimishwa na Moët & Chandon na kufanyika katika hoteli ya Hyatt…
Akimbia kituo cha treni na kuacha begi la vilipuzi
Polisi wa Ujerumani waliendeleza msako Alhamisi asubuhi kwa mshukiwa aliyekimbia ukaguzi wa kawaida katika kituo cha treni cha Berlin, na kuacha begi lililokuwa na vilipuzi. Tukio hilo lilitokea Jumatano…