Mke wa Rais wa zamani wa Zambia akamatwa ,madai ya utakatishaji fedha
Mke wa Rais wa zamani wa Zambia Esther Lungu alikamatwa na kushtakiwa kwa kupatikana na mali inayoshukiwa kuwa ya uhalifu na utakatishaji fedha siku ya Jumatano. Amekamatwa na Tume…
Jürgen Klopp aendelea kutetea uamuzi wa kibarua chake Red Bull
Jürgen Klopp ametetea uamuzi wake wa kuongoza kundi la vilabu vya soka vya Red Bull, akisema "hakutaka kumpinga yeyote" baada ya uamuzi wake kuzua taharuki kutoka kwa mashabiki wa timu…
Azam FC wamuongezea mkataba Sopu
Azam FC wametangaza kumuongezea Mkataba mpya wa miaka miwili Mshambuliaji wao Abdul Suleiman Sopu hadi mwaka 2026.
Arnold Schwarzenegger amuunga mkono Kamala
Gavana wa zamani wa chama cha Republican cha California, Arnold Schwarzenegger, 77, ametangaza kumuunga mkono Mgombea wa Urais wa Chama cha Democratic, Kamala Harris katika uchaguzi wa wiki ijayo. Schwarzenegger…
Trump apiga kampeni kwenye gari la taka taka
Donald Trump ameonekana akitumia njia za kipekee na zenye utata katika kampeni zake baada ya kuonekana kwenye Gari la Taka akiwa na ujumbe kwa Wapinzani wake wa Chama cha Democratic,…
LEONBET kumwaga fedha kwa watakao bashiri kwa usahihi matokeo ya Trump dhidi ya Kamala
Wakati joto la uchaguzi mkuu wa Rais wa Marekani uliopangwa kufanyika Novemba 5, 2024 likipanda, kampuni nyota ya michezo ya kubashiri nchini, LEONBET imetangaza kuwapa fedha watakaobashiri kiusahihi matokeo ya…
Ukraine inajiandaa kupambana na wanajeshi wa Korea Kaskazini huko Kursk huku vita vikipamba moto
Ukraine inajiandaa kupambana na wanajeshi wa Korea Kaskazini katika eneo la Kursk nchini Urusi siku ya Jumatano, wakati kuingia kwa nguvu ya pili ya nyuklia katika vita vya Urusi dhidi…
Afisa wa Hamas anasema kundi hilo linakataa usitishaji vita wa muda mfupi wa Gaza: Ripoti
Afisa mkuu wa Hamas anasema kundi hilo linakataa pendekezo lolote la kusitishwa kwa muda kwa mapigano huko Gaza na kusisitiza juu ya usitishaji vita wa kudumu, kulingana na shirika la…
Takriban watu 10 wameuawa na polisi katika maandamano ya baada ya uchaguzi mkuu Msumbiji
Takriban watu 10 waliuawa kwa kupigwa risasi na polisi na makumi ya wengine walijeruhiwa wakati mamlaka ilipokabiliana na machafuko kufuatia uchaguzi wa rais wa Msumbiji, vikundi viwili vya matibabu vilisema.…
Mwanzilishi wa TikTok sasa ndiye mtu tajiri zaidi nchini China
Umaarufu mkubwa wa TikTok umesaidia Zhang Yiming, mwanzilishi mwenza wa mtandao wa kijamii wa ByteDance, mwenye umri wa miaka 41, kuwa mtu tajiri zaidi wa nchini China. Kulingana na Orodha…