Korea Kusini huenda ikatuma timu nchini Ukraine kufuatilia wanajeshi wa Korea Kaskazini
Inaripotiwa kuwa hivi sasa wanajeshi wa Korea Kaskazini wanaripotiwa kuwa tayari ndani ya Ukraine. "Inaonekana kuwa wengi wao tayari wanafanya kazi," afisa wa kijasusi wa Magharibi alisema, kulingana na CNN,…
Zaidi ya watu 50 wamefariki baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko Uhispania
Zaidi ya watu 50 wamefariki kutokana na mafuriko katika baadhi ya maeneo nchini Uhispania huku mvua kubwa ikinyesha na kugeuza mitaa kuwa mito na kutatiza huduma za usafiri. Dhoruba za…
50 Cent aeleza kwanini alikataa dola milioni 3 kutumbuiza kwenye kampeni za Trump
Wakati ambapo wingi wa watu mashuhuri wakimuunga mkono Kamala Harris, rapper 50 Cent alisema alikataa ofa ya dola milioni 3 kutoka kwa waandaaji wa kampeni ya Donald Trump kutumbuiza kwenye…
Aliye mshambulia mume wa aliyekuwa spika wa bunge la Marekani afungwa maisha jela
Mwanaume aliyefahamika kwa David DePape ambaye alimshambulia kwa nyundo Paul Pelosi, mume wa aliyekuwa spika wa bunge la Marekani Nancy Pelosi alihukumiwa kifungo cha maisha jela bila msamaha katika mahakama…
Majibu tata ya Rais Putin kuhusu kumuunga mkono Kamala Harris au Trump
Ni swali ambalo aliulizwa rais Vladimir Putin mwezi Septemba kuhusu uchaguzi wa Marekani ambalo kwa upande liliibua tabasamu la hasira na nyusi ya rais wa Urusi. Putin aliulizwa kama anampendelea…
Mashambulizi ya Israel kaskazini mwa Gaza yameua takriban watu 88, maafisa wanasema
Mashambulizi mawili ya anga ya Israel kaskazini mwa Ukanda wa Gaza siku ya Jumanne yaliua takriban watu 88, wakiwemo makumi ya wanawake na watoto, maafisa wa afya walisema, na mkurugenzi…
Putin anafanya mazoezi ya vikosi vya nyuklia vya Urusi kujiandaa na mashambulizi ya kulipiza kisasi
Rais wa Urusi Vladimir Putin Jumanne alizindua mazoezi makubwa ya vikosi vya nyuklia vya nchi hiyo vilivyo na kurusha makombora kwa kuiga shambulio la kulipiza kisasi, huku akiendelea kuimarisha misuli…
Botswana yaanza mchakato ya kupiga kura wakati nchi hiyo ikikabiliwa na changamoto za kiuchumi
Botswana itapiga kura siku ya Jumatano katika kura itakayoamua iwapo chama tawala cha Botswana Democratic Party (BDP) kitaongeza muda wake wa kushikilia madaraka kwa miaka 58. Wadadisi wanasema, hata hivyo,…
Mashauzi ampa mdogo wake saloon ya Milioni zaidi ya 50
Mwimbaji wa Taarabu Isha Mashauzi amemzawadia mdogo wake Saloon ya Milioni zaidi ya 50 baada ya mdogo wake huyo kuacha kufanya Muziki wa Taarabu aliokuwa akifanya na kujulikanika kwa jina…
Serikali kuwaanda wataalamu wa ndani utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati
Mkuu wa Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, Edward Mpogolo amesema Serikali imeendelea kuwajengea uwezo wataalamu wake wa ndani kwa kuwashirikisha kwenye miradi mikubwa kupitia Wizara ya Ujenzi. Mpogolo…