Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 8, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania February 8, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 8, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam February 8, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Wadau wa Maendeleo kuunga Mkono matumizi ya gesi
Wadau wa maendeleo wameendelea kuunga mkono juhudi za serikali katika kumkomboa mwanamke dhidi ya matumizi ya mkaa, kwa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya gesi. Akizungumza na waandishi wa habari,…
Njia ya kusimamia pesa za mikopo ya 10% ya Halmashauri
Benki ya CRDB imefanikiwa kusaini mkataba wa kusimamia utoaji wa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya halmashauri inayolenga kuwainua wanawake, vijana, na makundi maalum. Kupitia mpango huu, Benki ya…
Rais wa Colombia ataka Cocaine kuhalalishwa
Hotuba ya Rais wa Colombia, Gustavo Petro, imegonga vichwa vingi vya habari baada ya kusema biashara ya kokeini inaweza kudhibitiwa kwa urahisi ikiwa dawa hiyo itahalalishwa duniani kote, kwakuwa dawa…
Arne Slot anatumai Virgil van Dijk atasalia Liverpool ‘kwa muda mrefu’
Kocha mkuu wa Liverpool Arne Slot amesema anatumai kuendelea kufanya kazi na nahodha Virgil van Dijk "kwa muda mrefu" huku kukiwa na sintofahamu juu ya mustakabali wa muda mrefu wa…
Iringa Airport ujenzi 93% – Waziri Mbarawa
Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa, ulio katika Kata ya Nduli, Mkoani Iringa, umefikia asilimia 93 ya ukamilifu na umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 68. Kwa sasa, uwanja huo…
Manchester City yamsajili Marmoush kwenye orodha yake ya Ulaya
Manchester City ilitangaza kuwa Mmisri Omar Marmoush alisajiliwa katika orodha yake ya Uropa kwa msimu huu, baada ya kumpa kandarasi wakati wa usajili wa majira ya baridi kutoka Eintracht Frankfurt.…
Mbappe azungumzia pambano lijalo dhidi ya Atletico Madrid
Nyota wa Ufaransa, Killian Mbappe, mshambuliaji wa Real Madrid, amelizungumzia pambano lijalo la Atletico Madrid kwenye Ligi ya Uhispania, ambayo itakuwa mechi ya kwanza kupigana akiwa na jezi ya Merengue…
Saudi Arabia yawanyonga raia 2 waliopatikana na hatia ya kuunga mkono ugaidi
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia ilitangaza Jumatano kwamba raia wawili waliuawa baada ya kupatikana na hatia ya "kulisaliti taifa na kuunga mkono ugaidi." Katika taarifa yake, wizara…