Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 30, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 30, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 30, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 30, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
BILIONI 60 zimetengwa kuboresha Bandari 3 Ziwa Victoria
Meneja wa Bandari za Ziwa Victoria, Erasto Lugenge aliwaambia wandishi wa habari waliotembelea bandari za Bukoba na Kemondo kuwa uwekezaji huu mkubwa katika bandari za Kemondo, Bukoba na Mwanza Kaskazini…
Nigeria: Takriban watu 7 wamefariki baada ya jengo kuporomoka
Jengo moja liliporomoka katika kitongoji cha mji mkuu wa Nigeria mwishoni mwa juma, na kuua takriban watu saba, polisi walisema. Polisi wa Abuja walisema jengo hilo lililo katika eneo la…
Dkt.Biteko ataka umoja, ushirikiano na ubunifu taasisi za nishati
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watendaji na Watumishi katika Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati kuwa na umoja, ushirikiano na ubunifu ili…
Vijiji vyote Newala vimefikiwa na umeme – Mhe. Kapinga
Naibu Waziri Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Vijiji vyote 76 vya Jimbo la ya Newala Vijijini Mkoa wa Mtwara vimefikiwa na huduma ya umeme kwa umbali wa kilometa 1. Mhe.…
Amuua mhudumu kisa hajavaa gloves
Mteja mmoja wa Pizza aitwae Charles Leggett (38) amempiga risasi na kumuua Muhudumu wa Mgahawa wa Pizza huko Milwaukee Nchini Marekani aitwae Jamil Owais (26) katika ugomvi ambao umetokana na…
LAAC kurejesha shilingi Bilioni 79.76 ya Mikopo iliyotolewa kwa vikundi
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeazimia serikali inarejesha kiasi cha shilingi Bilioni 79.76 ya Mikopo…
Zelenskiy ageukia upande hasimu wa Korea Kaskazini waanzisha mawasiliano na utaalamu
Rais Volodymyr Zelenskiy alisema Jumanne kwamba amekubaliana na rais wa Korea Kusini kuongeza mawasiliano kati ya mataifa yao katika ngazi zote ili kuandaa hatua za kukabiliana na hali hiyo na…
Hezbollah yamchagua Naim Qassem kama mrithi Nasrallah
Kundi linalojihami la Lebanon Hezbollah lilisema Jumanne lilimchagua naibu mkuu Naim Qassem kuchukua nafasi ya Katibu Mkuu Hassan Nasrallah, ambaye aliuawa katika shambulio la anga la Israel kwenye kitongoji cha…