Hezbollah yamchagua Naim Qassem kama mrithi Nasrallah
Kundi linalojihami la Lebanon Hezbollah lilisema Jumanne lilimchagua naibu mkuu Naim Qassem kuchukua nafasi ya Katibu Mkuu Hassan Nasrallah, ambaye aliuawa katika shambulio la anga la Israel kwenye kitongoji cha…
Birthday ya JPM, mkewe Mama Janet amfanyia sala
Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya Tano DKT John Pombe Magufuli alizaliwa October 29 1959 huko Chato na kufariki Dunia March…
Shabiki kindaki ndaki aendesha baiskeli kilomita 13,000 kumuona Cristiano Ronaldo
Cristiano Ronaldo alikutana na shabiki yake mkubwa aliyetambulika kwa jina la Gong, ambaye aliendesha baiskeli kilomita 13,000 kutoka China hadi Saudi Arabia kwa muda wa miezi saba, akitimiza ndoto yake…
Jenerali David Bugozi Musuguri afariki akiwa na umri wa miaka 104
Aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali David Bugozi Musuguri, amefariki dunia Oktoba 29, 2024 akiwa na umri wa miaka 104, akipatiwa matibabu katika hospitali hiyo jijini Mwanza. Jenerali Musuguri,…
Ronaldo anamtaka Pogba katika klabu ya Al Nassr
Cristiano Ronaldo anamtaka mchezaji mwenzake wa zamani wa Manchester United, Paul Pogba kuchezea Al Nassr ya Saudi Arabia atakaporejea kutoka kwa marufuku yake ya kutumia dawa za kusisimua misuli, inasema…
Vinicius Jr avunja ukimya kwenye ukurasa wa X
Vinicius Jr alitumia mitandao ya kijamii baada ya kushika nafasi ya pili katika kura ya tuzo za Ballon d’Or nyuma ya Rodri wa Manchester City baada ya Real Madrid kuongoza…
Ten Hag aliwahi kufikiria kujiuzulu kama meneja wa Manchester United kabla ya kutimuliwa
Ruben Amorim amekubali kuchukua nafasi ya Erik ten Hag na kuwa kocha wao mpya wa kudumu wa Manchester United kuchukua mikoba kutoka kwa kocha mkuu wa muda Ruud van Nistelrooy.…
Manchester City wanaweza kumuuza beki wa kati Ruben Dias mwaka 2025
Manchester City wanaweza kumuuza beki wa kati Ruben Dias mwaka 2025 na Chelsea ni miongoni mwa wanaotaka kumsajili, vyanzo vimefichua kwa TEAMtalk pekee. The Cityzens wanachunguzwa kwa tuhuma 115 za…
Marco Silva kuwa mbadala wa Amorim iwapo atapindua meza
Manchester United wameripotiwa kutaka kumtafuta meneja wa Fulham Marco Silva, ingawa mlengwa wao mkuu kuchukua nafasi ya Erik ten Hag bado ni Ruben Amorim. The Red Devils walimtimua Ten Hag…
Msimamo wa Man City kuhusu Ruben Amorim licha ya kuwa na mazungumzo na Man Utd
Msimamo wa Manchester City kuhusu Ruben Amorim haujabadilika licha ya Manchester United kufungua mazungumzo na Mreno huyo, kulingana na The Independent Kocha wa zamani wa Man United Jose Mourinho ameeleza…