Waziri Chana ahudhuria hafla ya uzinduzi wa ASAS za Kichina Mufindi
WAZIRI wa Maliasili na Utalii Mhe. Pindi Chana amehudhuria hafla ya uzinduzi wa Asasi ya kichina iliyofanyika Mjini Mafinga Wilayani Mufindi akiwa Mgeni rasmi. Akizungumza wakati wa hafla hiyo Waziri…
Idadi ya vifo vya Gaza yaongezeka
Takriban watu 43,020 wameuawa na 101,110 wamejeruhiwa katika mashambulizi ya kijeshi ya Israel huko Gaza tangu Oktoba 7, 2023, Wizara ya Afya ya enclave inasema. Kati ya hao, Wapalestina 96…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 29, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 29, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 29, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 29, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Mhe. Albert chalamila kuongoza mkutano mkuu wa Tano wa Bodi ya usajili wabunifu majengo na wakadiriaji ujenzi.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe.Albert Chalamila anatarajiwa kuongoza mkutano mkuu wa Tano wa Bodi ya usajili wabunifu majengo na wakadiriaji ujenzi, siku ya tarehe 29 oktoba mwaka…
Asilimia 60 ya wagonjwa wana shinikizo la Damu, kambi ya matibabu yazinduliwa Mwanza
Takwimu zinaonesha kuwa asilimia 60 ya wagonjwa wanaofika hospitalini jijini Mwanza wanakabiliwa na tatizo la shinikizo la damu. Hali hii imechangiwa sana na ulaji usiofaa, kukosa mazoezi, na mtindo wa…
Waziri Chana aelekeza askari uhifadhi kuweka kambi Ikungi kukabiliana na tembo.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameelekeza timu ya Askari Uhifadhi 18 kuweka kambi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida kwa lengo la kukabiliana…
Sasa vijiji vyote Mtarwa vina umeme
Ni furaha na nderemo kwa wakazi wa Mkoa wa Mtwara mara baada ya Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kufanikiwa kufika umeme katika Vijiji vyote 785 katika Mkoa huo.…
Sababu za nchi za ukanda wa Afrika masharikikuwa na soko duni.
Utendaji mbovu wa biashara kwa nchi za bara la Afrika pamoja na uwezo mdogo wa kujadili makubakiano ya kibiashara ya kikanda na kimataifa kumetajwa kama miongoni mwa changamoto zinazokwamisha ufanisi…
Wananchi wa Kawaida EAC Kuwezeshwa mifumo rahisi ya Fedha Mtandao
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame asema wananchi wengi wa kawaida wa nchi wanachama wa jumuiya ya afrika mashariki wakiwezeshwa kutumia mfumo wa Fedha kwa Mtandao wataweza…