Ihalula wakabidhiwa gari ya wagonjwa,serikali yazidi kupigilia msumari “Marufuku mgonjwa kulipia ni bure”
Watumishi wa Afya Halmashauri ya Mji wa Njombe wametakiwa kutowatoza fedha wagonjwa kwa ajili ya kulipia gari la kubebea wagonjwa kwani tayari Serikali imeshagharamia hivyo wagonjwa wanatakiwa kubebwa bure. Kauli…
Waziri Kombo aagana na Balozi wa Marekani
Tanzania itaendelea kutoa ushirikiano kwa Ubalozi wa Marekani nchini na kuahidi kumpatia ushirikiano wa karibu Balozi ajaye katika utekelezaji wa majukumu yake awapo Tanzania pamoja na kuangazia maeneo ya kuongeza…
Tanzania mwenyeji mkutano 63 wa baraza la Kimataifa la viwanja vya ndege Afrika
Tanzania imeteuliwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (Airports Council Interantional-ACI) kwa Kanda ya Afrika,huku maandalizi yake yakiendelea vizuri. Ameyasema hayo leo,Waziri…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 9, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 9, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 9, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
January 8, 2025
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) mkoa wa Njombe Dkt.Scholastika Kevela amegiza viongozi wa Jumuiya hiyo kufanya kazi ili kuwapelekea maendeleo wanawake na kuzifikia…
Rais Samia aguswa na kifo cha Mwenyekiti wa CCM Liwale
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na Kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Liwale…
Akamatwa na polisi baada ya kuvaa sare za jeshi ili akubaliwe na mpenzi wake
Mahakama ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemuhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na hatia ya kuvaa sare za Jeshi la Wananchi…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 8, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 8, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Anayedaiwa kumchoma moto mwanamke katika njia ya treni kufikishwa mahakamani
Mwanamume anayedaiwa kumchoma moto mwanamke aliyekuwa amelala hadi kufa ndani ya treni ya chini ya ardhi ya Jiji la New York anatarajiwa kufikishwa mahakamani Jumanne kwa mashtaka ya mauaji na…