Macron afungua mkutano unaolenga kutafuta njia ya kusitisha mapigano nchini Lebanon
Emmanuel Macron amefungua mkutano mjini Paris kuunga mkono Lebanon, kwa malengo mapacha ya kuchangisha takriban £300m fedha ili kukabiliana na mzozo wa kibinadamu unaozidi kusababishwa na mashambulizi ya Israel na…
Yamal atuma onyo la Clasico kwa Real baada ya Bayern kupata kipigo.
Lamine Yamal ametoa onyo la Clasico kwa Real Madrid baada ya kuisaidia Barcelona kuipiga nyundo Bayern Munich katika Ligi ya Mabingwa. Wiki kubwa kwa Blaugrana imewafanya kusajili mabao tisa katika…
Bosi wa Norway anapanga kumwita Odegaard licha ya jeraha.
Mkufunzi wa Norway Stole Solbakken amefichua kuwa ana mpango wa kumwita Martin Odegaard mwezi Novemba licha ya nahodha huyo wa Arsenal kuwa majeruhi. Kutokana na jeraha la kifundo cha mguu…
Tanzania yang’ara kimataifa kwa kuwa na kituo cha ufuatiliaji majanga
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kwa kuwa na Kituo cha Ufuatiliaji wa Mwenendo wa Majanga na Tahadhari ya Mapema (National Emergency Operation and Communication Center Situation Room)…
Manchester United wavutiwa na winga wa Napoli
Manchester United wanavutiwa na winga wa Napoli Khvicha Kvaratskhelia na beki wa kati Alessandro Buongiorno, ripoti Tutto Mercato Web. The Red Devils wametuma skauti kuwatazama wachezaji katika ushindi wa 1-0…
Ukosefu wa taulo za kike ni changamoto kwa wanafunzi
Ukosefu wa taulo za kike hususani kwa wanafunzi wanaotoka katika kaya masikini ni miongoni mwa changamoto zinazochangia baadhi yao kushindwa kuhudhuria masomo kwa kipindi chote cha hedhi hali inayosababisha baadhi…
Dkt. Mpango ataka afrika kuunganisha nguvu uendelezaji wa jotoardhi.
Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amesema Bara la Afrika linapaswa kuunganisha nguvu na kushirikiana ili kuweza kuendeleza ipasavyo nishati ya Jotoardhi ambayo ni safi na endelevu na…
Tanzania kujifunza teknolojia ya magari ya umeme Singapore.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa Tanzania inayo nafasi kubwa ya kujifunza Teknolojia ya uwambaji wa magari (Assembling) yanayotumia umeme kutoka kiwanda cha…
Bashungwa akagua na kuzindua miradi mkuranga-Pwani.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezindua jengo la utawala katika Shule ya Sekondari ya Mwandege lililojengwa na kukamilika kupitia fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga…
Halmashauri ya mji wa Geita yaanza kutekeleza agizo ya serikali la kutenga bilioni moja za mkopo.
Halmashsuri ya Mji Geita Imeanza kutekeleza Maagizo ya Serikali ya kutenga kiasi cha Fedha Shilingi Bilioni 1 kwa robo ya Mwaka wa Fedha za Mikopo za Asilimia 10 ikiwa ni…