Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 9, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 9, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 9, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
January 8, 2025
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) mkoa wa Njombe Dkt.Scholastika Kevela amegiza viongozi wa Jumuiya hiyo kufanya kazi ili kuwapelekea maendeleo wanawake na kuzifikia…
Rais Samia aguswa na kifo cha Mwenyekiti wa CCM Liwale
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na Kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Liwale…
Akamatwa na polisi baada ya kuvaa sare za jeshi ili akubaliwe na mpenzi wake
Mahakama ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemuhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na hatia ya kuvaa sare za Jeshi la Wananchi…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 8, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 8, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Anayedaiwa kumchoma moto mwanamke katika njia ya treni kufikishwa mahakamani
Mwanamume anayedaiwa kumchoma moto mwanamke aliyekuwa amelala hadi kufa ndani ya treni ya chini ya ardhi ya Jiji la New York anatarajiwa kufikishwa mahakamani Jumanne kwa mashtaka ya mauaji na…
Real Madrid wakataa nafasi ya kumsajili beki maalum wa Liverpool
Msimu huu wa majira ya joto unatarajiwa kuwa mkubwa kwa Liverpool huku watu kama Virgil van Dijk wakitafakari iwapo wataongeza muda wao wa kukaa au kuendelea. Trent Alexander-Arnold anasalia kuwa…
Rapa 2 Low ajifyatulia risasi bahati mbaya ndani ya suruali yake kwenye Interview
Msanii wa rap kutoka Texas, 2 Low amenusurika kujijeruhi baada ya Bunduki yake iliyokua mfukoni mwake kufyatuka ghafla wakati wa mahojiano ya moja kwa moja kwenye kipindi cha YouTube, One…
Aliyetangaza kuuza mtoto TikTok akamatwa
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia John Isaya (21), dereva bajaji na mkazi wa mtaa wa Bukala Wilaya ya Sengerema, kwa tuhuma za kutengeneza na kusambaza picha za mjongeo…