Hezbollah inazalisha fedha kwa ajili ya shughuli chini ya kivuli cha mashirika yasiyo ya faida.
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilifichua taarifa mpya za kijasusi kuhusu mtandao wa fedha wa Hezbollah siku ya Jumatatu, huku jeshi likiendelea kuondoa vitisho kutoka kwa Hamas na makundi…
Neymar arejea baada ya siku 369 nje ya uwanja kutokana na majeraha.
Nyota wa Brazil Neymar hatimaye amerejea uwanjani baada ya kuwa nje kwa zaidi ya mwaka mmoja kutokana na jeraha la ACL. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 alijiunga na…
Hezbollah inasema inarusha wingi wa roketi nchini Israel, Blinken arejea kutafuta usitishaji mapigano.
Hezbollah mapema Jumanne asubuhi ilisema ilirusha makombora katika vituo viwili muhimu karibu na Tel Aviv na kituo cha jeshi la wanamaji magharibi mwa Haifa, huku Waziri wa Mambo ya Nje…
Israel yapendekeza kusitisha mapigano bila kuondoka Gaza: Ripoti
Israel imewasilisha pendekezo la kusitisha mapigano ambalo halijumuishi jeshi lake kuondoka Gaza, vyombo vya habari vya ndani viliripoti. Shirika la Utangazaji la Umma la Israel (KAN) lilisema pendekezo hilo linajumuisha…
Mhe. Prof. Kitila Mkumbo aipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuongeza ufanisi wa kuhudumia Shehena mbalimbali katika Bandari…
Kampeni ya Jeshi la Polisi tuwaambie kabla hawajaharibiwa yaendelea kutolewa
Kampeni ya Tuwaambie Kabla hawajaharibiwa Ilivyopokelewa Ngara Sekondari,waombwa kupaza sauti vitendo vya ukatili. Kampeni ya Jeshi la Polisi tuwaambie kabla hawajaharibiwa imeendelea kutolewa katika maeneo mbalimbali ya Shule za awali,…
Wenye uhitaji shule ya msingi Ilembula washikwa mkono
Jamii imetakiwa kuendelea kushirikiana ili kupunguza changamoto za watoto wenye uhitaji pamoja na watu wengine wanaoishi kwenye mazingira magumu na kujenga jamii yenye umoja na mshkamano bila kujali changamoto ambazo…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 22, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 22, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 22, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 22, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Tanzania mwenyeji safari ya kihistoria ‘Live Your Dream Road Tour’ itakayofanyika Novemba mwaka huu
Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Afrika (SADC) lazima ziwe makini sana katika kuuendeleza na kukuza utalii wenye tija na kwa kulitambua hilo GAAB kwa kushirikiana na wadau wa…