Alikiba atunukiwa TUZO kama CHAMPION wa Maendeleo ya Mtoto wa Kike
Alikiba atunukiwa TUZO kama CHAMPION wa Maendeleo ya Mtoto wa Kike kupitia Kongamano la KIGODA LA WASICHANA @kigodachawasichana lililofanyika Tarehe 11/10/2024 katika maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Kike visiwani…
Netanyahu afanya mazungumzo na Trump
Benjamin Netanyahu alizungumza na rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, ofisi ya waziri mkuu ilisema Jumapili. "Waziri Mkuu Netanyahu alisisitiza kile pia amesema hadharani: Israeli inazingatia masuala ambayo…
Somalia yapokea tani 3,000 za msaada kutoka Uturuki
Meli ya Uturuki iliyobeba misaada ya kibinadamu kuelekea Somalia ilitia nanga Jumamosi katika bandari ya Mogadishu. Meli ya iliyobeba tani 3,000 za msaada, ilisafiri Septemba, 29 kutoka Mersin katika jimbo…
Colombia yavunja rekodi uzalishaji wa Cocaine,vita dhidi ya dawa zakulevya za gonga mwamba :UN
Uzalishaji wa Cocaine nchini Colombia uliongezeka kwa 53% mnamo 2023, na kufikia kilele cha kihistoria, Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) ilisema Jumamosi. Ripoti…
Israel yawauwa watu 84 zaidi wa Gaza huku idadi ya vifo ikifikia 42,600
Takriban Wapalestina 84 zaidi waliuawa katika mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Gaza, na kufanya jumla ya vifo tangu mwaka jana hadi 42,603, Wizara ya Afya katika eneo hilo ilisema…
Waziri Mchengerwa ataja mikoa yenye asilimia kubwa ya watu waliojiandikisha hadi Oct 18
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa Leo Oktoba 20, 2024 ametaja Mikoa mitano yenye asilimia kubwa ya watu waliojiandikisha hadi…
Gachagua adai kutishiwa maisha
Naibu Rais wa Kenya aliyetimuliwa, Rigathi Gachagua amedai majaribio mawili ya kumuua bila mafanikio mwezi Agosti na Septemba, kabla ya kuondolewa mashtaka mwezi Oktoba. Gachagua, ambaye alizungumza baada ya…
Mchechu achangisha Sh.117.8 Million ujenzi wa kanisa
Nehemiah Mchechu, Msajili wa Hazina na kiongozi anayejulikana kwa mchango wake mkubwa katika sekta ya nyumba, benki, na biashara, ameendesha harambe iliyowezesha kuchangisha Sh117.8 milioni kwaajili ya kuendeleza ujenzi wa…
Bandari ya Tanga sasa inashughulikia meli kubwa baada umya uwekezaji wa Bilioni 429
Utendaji wa Bandari ya Tanga umeimarika kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na uwekezaji wa serikali wa Sh429.1 bilioni. Bandari ya Tanga ilijengwa kwa mara ya kwanza…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 20, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 20, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.