Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 20, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 20, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Unasubiriwa wewe tu hapa Supedom Masaki
Ni siku ya Tuzo za Tanzania Music Awards zinazotolewa kwa wale waliofanya vizuri kwa mwaka 2023 Kwenye upande wa Muziki hapa bongo, location ni Masaki na chimbo ni The Dome…
PICHA: yanayojiri kwa Mkapa muda huu
Wikiendi hii wapinzani wakubwa hapa Tanzania wanamenyana kwenye Ligi Kuu ya NBC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa huku timu hizo zikitofautiana kwa pointi moja pekee.
Erik ten Hag akiri bodi ya Manchester United haifurahishwi na matokeo ya timu
Erik ten Hag amekiri kwamba bodi ya Manchester United "haijafurahishwa" na mwanzo ambao umeiacha timu yake katika nafasi ya 14 na kushinda mara tatu pekee katika michezo 10 katika mashindano…
Anzisheni kozi zitakazochangia maendeleo ya nchi :Rais Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezishauri taasisi za elimu ya juu zilizo nchini kuanzisha kozi muhimu zenye uhitaji na uhaba wa…
Waziri Mkuu ajiandikisha kijijini kwake Nandagala
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la Mpigakura kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu. Waziri…
Trent Alexander-Arnold hajavurugwa na viungo wa Real Madrid:Arne Slot
Arne Slot amesisitiza kuwa Trent Alexander-Arnold hatapotezwa au kuchanganywa na nia ya Real Madrid kumnunua beki huyo wa Liverpool. Mkataba wa Alexander-Arnold unamalizika mwishoni mwa msimu huu, pamoja na Mohamed…
LEONBET kuwapeleka washindi wa bata La Derby Ki-VIP mechi ya Yanga na Simba
Kampuni ya michezo ya kubashiri inayokua kwa kasi nchini, LEONBET, imeongeza ladha ya burudani kwa wateja wake kwa kuwazawadia tiketi za VIP kuiona mechi ya Simba na Yanga kupitia kampeni…
Erling Haaland anasalia kuwa ndoto ya uhamisho Joan Laporta
Erling Haaland anasalia kuwa ndoto ya uhamisho wa rais wa Barcelona Joan Laporta, lakini kuhama kwa klabu hiyo ya Uhispania kuna uwezekano mkubwa, kulingana na Patrick Berger Berger anasema Real…
Man City na Bayern Munich zinawania saini ya Florian Wirtz
Manchester City wana nia ya dhati ya kumnunua kiungo wa kati wa Bayer Leverkusen Florian Wirtz na wanaweza kushindana na Bayern Munich kwa ajili yake, Florian Plettenberg anaripoti. Wirtz ndiye…