Erling Haaland anasalia kuwa ndoto ya uhamisho Joan Laporta
Erling Haaland anasalia kuwa ndoto ya uhamisho wa rais wa Barcelona Joan Laporta, lakini kuhama kwa klabu hiyo ya Uhispania kuna uwezekano mkubwa, kulingana na Patrick Berger Berger anasema Real…
Man City na Bayern Munich zinawania saini ya Florian Wirtz
Manchester City wana nia ya dhati ya kumnunua kiungo wa kati wa Bayer Leverkusen Florian Wirtz na wanaweza kushindana na Bayern Munich kwa ajili yake, Florian Plettenberg anaripoti. Wirtz ndiye…
Nyumba ya Netanyahu yashambuliwa kwa ndege zisizo na rubani
Serikali ya Israel ilisema ndege isiyo na rubani ilirushwa kuelekea ikulu ya waziri mkuu Jumamosi, bila majeruhi huku kiongozi mkuu wa Iran akiapa kwamba Hamas itaendelea na mapambano yake dhidi…
Mamlaka za Gaza zinashutumu vikosi vya Israel kwa kushambulia hospitali
Mamlaka za afya huko Gaza zilisema kuwa vikosi vya Israeli viliizingira na kushambulia kwa makombora hospitali ya Indonesia katika mji wa Beit Lahia kaskazini mwa eneo hilo alfajiri ya Jumamosi,…
Pyongyang imesema kuwa imepata mabaki ya ndege zisizo na rubani za Korea Kusini
Korea Kaskazini ilidai Jumamosi kuwa iligundua mabaki ya angalau ndege moja ya kijeshi ya Korea Kusini iliyoanguka katika mji mkuu Pyongyang, ikitoa picha za kifaa ambacho baadhi ya wachambuzi walithibitisha…
Hamas yagoma kuwaachilia mateka wa Israel baada ya kifo cha kiongozi wake
Hamas imebainisha hivi punde siku ya Ijumaa, Oktoba 18, kwamba mateka wanaoshikiliwa katika Ukanda wa Gaza hawataachiliwa hadi Israel itakapokomesha mashambulizi yake. Kauli hii inajiri saa chache baada ya kundihili…
Gabon inatarajiwa kupiga kura ya maoni kuhusu katiba mpya Nov 16
Raia wa Gabon wanaitwa kushiriki kura ya maoni mnamo Novemba 16 kuhusu rasimu ya katiba mpya, hatua muhimu kuelekea kurejea kwa utawala wa kiraia ulioahidiwa na utawala wa kijeshi baada…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 19, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 19, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 19, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 19, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Rais Mwinyi aifungua bandari kavu ya Maruhubi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Mapinduzi makubwa katika sekta ya Miundombinu ya Bandari yanalenga kuifanya Zanzibar kuwa kituo muhimu cha Usafirishaji na…