Hakuna mazungumzo ya ndani kuhusu mustakabali wangu Man United :Ten Hag
Erik ten Hag amesisitiza kuwa hakujawa na mazungumzo ya ndani kuhusu hatma yake kama meneja licha ya mwanzo mbaya wa Manchester United msimu huu. Ten Hag yuko kwenye presha akiwa…
Man City wametayarisha mbadala wangu – Éderson
Mlinda mlango wa Manchester City Éderson amesema anafikiri klabu yake tayari imepanga mrithi iwapo Pep Guardiola ataamua kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Guardiola, mwenye umri wa miaka 53, hivi majuzi…
Landrover 17 kufanya safari ya kihistoria kutalii nchi zaidi ya nchi 3 usiku na mchana
Mpango wa 1 wa SADC Live Your Dream Road Tour and Moving Arts (The Great African Art Banner Iniative), safari ya kipekee ya kitamaduni na Sanaa kutoka Tanzania hadi Zimbabwe,…
Christopher Nkunku huenda akaondoka Chelsea msimu ujao
Christopher Nkunku anaweza kushinikiza kuondoka Chelsea msimu ujao ikiwa hataweza kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha kocha Enzo Maresca, Football Insider imeripoti Mshambulizi huyo amekuwa akihusishwa na kutaka kurejea Ufaransa,…
Mbappe hajaathiriwa na tuhuma za ubakaji zinazo mlenga :Ancelotti
Kylian Mbappé haathiriwi na mzozo wa vyombo vya habari kuhusu madai ya ubakaji dhidi yake, kocha wake Carlo Ancelotti alifunguka mbele ya waandishi wa habari. Nyota huyo mwenye umri wa…
Baraza la seneti la Kenya lapitisha kumshtaki Gachagua
Baraza la seneti la Kenya tarehe 17 Oktoba lilipiga kura na kupitisha kumwondoa madarakani naibu rais Rigathi Gachagua. Maseneta 67 walipiga kura juu ya tuhuma 11 dhidi ya naibu…
Korea Kaskazini yasema Korea Kusini ni ‘nchi adui’ katika Katiba iliyofanyiwa marekebisho
Korea Kaskazini ilithibitisha kuwa ilifanyia marekebisho Katiba yake ili kuiteua rasmi Korea Kusini kuwa "nchi yenye uadui," ikitaja vitisho vya usalama na mvutano unaozidi kati ya nchi hizo mbili, kulingana…
Kithure Kindiki, ateuliwa kuwa Naibu Rais Kenya
Rais William Ruto amemteua Naibu Rais mpya baada ya Rigathi Gachagua kuondolewa na Bunge la Seneti. "Rais William Ruto amependekeza na kulipeleka bungeni jina la Profesa Kithure Kindiki kama Naibu…
Picha: GSM Foundation yaboresha mbinu za uhifadhi taka kwa shule za Msingi
Katika hatua muhimu ya kukuza utunzaji wa mazingira, GSM Foundation inafurahia kutangaza kupeleka vifaa vya kuhifadhia taka 15 kwa matumizi ya maeneo ya nje ya shule, 25 kwa matumizi ya…
Kamati ya kudumu ya Bunge yaridhishwa na maendeleo ya ujenzi jengo la kituo cha zimamoto
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imetembelea na kukagua ujenzi wa jengo la kituo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lenye thamani ya Tsh.…