FCC yawanoa wahariri maboresho ya sheria
Tume ya Ushindani Tanzania (FCC) imekutana na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari Mkoa wa Dar es Salaam kwa lengo la kuwajengea uwezo kuhusu maboresho ya sheria na masuala mengine…
Ufaransa yaipa ndege za kivita awamu ya 1 kwa Ukraine
Ufaransa iliwasilisha kundi la kwanza la ndege za kivita za Mirage 2000-5 kwa Ukraine ili kuimarisha ulinzi wake wa anga dhidi ya Urusi, Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa Sebastien Lecornu…
Rais wa Afrika Kusini athibitisha kuunga mkono Palestina katika hotuba yake bungeni
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesisitiza uungaji mkono usioyumba wa nchi yake na mshikamano na watu wa Palestina, ambao wanaendelea kuvumilia mateso makubwa kutokana na miongo kadhaa ya uvamizi…
Trump aiwekea vikwazo ICC kutokana na kibali cha kukamatwa kwa mshirika wake Netanyahu
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini amri ya utendaji ya kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa uchunguzi "usio na msingi" unaolenga Marekani na mshirika wake wa…
Idadi ya vifo katika Ukanda wa Gaza yaongezeka hadi 47,583, zaidi ya 111,633 waliojeruhiwa
Vyanzo vya kimatibabu vimetangaza leo kwamba idadi ya waliouawa katika Ukanda wa Gaza imeongezeka hadi 47,583, wengi wao wakiwa ni watoto na wanawake, tangu kuanza kwa uvamizi wa Israel mnamo…
Maendeleo ya ujenzi wa bwawa la Kidunda,ujenzi wafikia 27%
Mradi wa ujenzi wa bwawa kubwa la maji la Kidunda linalojengwa mkoani Morogoro ambalo litahifadhi zaidi ya lita bilioni 190 na lenye matumizi mbalimbali katika mkoa wa Morogoro umefikia asilimia…
Waziri wa Ulinzi na JKT apokea Ndege ya JWTZ kutoka Jeshi la Umoja wa Falme za Kiarabu
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence amewaongoza Maafisa na askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania pamoja na Watumishi wa Umma katika…
Serikali itatoa waraka kuwakumbusha wakurugenzi wote nchini kutekeleza miongozo yao
Serikali inatarajia kutoa waraka utakao waelekeza wakurugenzi wa Halmashauri nchini kutekeleza miongozo inayowahusu watumishi wa Umma wenye ulemavu ili wapate mazingira rafiki na wezeshi wanapotekeleza majukumu yao. Kauli hiyo imetolewa…
Mtu mmoja afariki katika ajali ya ndege ya kijeshi ya Zimbabwe
Kikosi cha Ulinzi cha Zimbabwe (ZDF) Alhamisi kilitangaza kifo cha rubani kijana mwanafunzi kutoka Kambi ya Jeshi la Wanahewa la Josiah Tungamirai huko Gweru, jiji katika Mkoa wa Midlands baada…
Moto uliozuka katika shule moja kaskazini mwa Nigeria yaua takriban watoto 17
Takriban watoto 17 waliuawa katika moto uliozuka katika shule ya Kiislamu kaskazini-magharibi mwa Nigeria, shirika la kukabiliana na dharura la nchi hiyo lilisema, wakati mamlaka ilipoanzisha uchunguzi kuhusu chanzo siku…